mbowe2008@gmail.com V/S mawasilianoikulu@yahoo.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbowe2008@gmail.com V/S mawasilianoikulu@yahoo.com

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Apr 14, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR

  Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?

  Chama hichi hakiishi kukosoa CCM kila kukicha lakini inaonekana kumbe na wao hawako serious.

  Nashangaa kwa nini hawa update website yao?

  kwa nini hawaweki audited accounts zao online?

  Kwa nini hawasemi how much wanaspend kwenye propaganda including hii ya mambo ya web design?

  I mean mbowe2008@gmail.com

  I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe


  and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?

  [​IMG]
  why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?


  I mean how hard is it to set up say:

  srweyemamu@ikulu.gov.tz

  or

  mawasiliano@ikulu.gov.tz

  or

  zittokabwe@chadema.org.tz

  or

  fmbowe@chadema.org.tz

  or

  chairman@chadema.org.tz  [​IMG]
  [​IMG]

   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.

  Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
   
 3. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kweli wewe ni PAA LINALOTELEZA.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  makes you question inawezekana ikawa huko Chadema nako kuna ufisadi wa hali ya kutisha

  maana pesa na budget za PR wanazo lakini naona wamekuwa complacent ...kwa nini Zitto anatumia stationery za Freeman?

  how hard is it kuwa na domain name yenye email address yake?

  sasa if they cant manage minute stuff like these kweli wanaweza kutupatia National ICT policy ambayo ni mbadala?
   
 5. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ni kweli inashangaza..nadhan wataupokea ushauri...inaleta kinyaa kuona email address za wakuu zinatumia public and free mail server km gmail,hotmail na yahoo
   
 6. kituma12

  kituma12 JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  ni kweli kunamakosa katika hilo lakini tunapaswa kujua umuhimu wa jambo lenyewe
   
 7. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Tuache ushabiki, chama 'mbadala' hakina moral high grounds za kupin down hao chama 'tawala'. Ndio tunataka mabadiliko, lakini sio from yahoo.com to gmail.com and many other issues.

  Chadema needs changes...way from letter head to the way they argue and tackle them issues kama kweli wanataka kudadilisha siasa za nchi hii kuelekea kwenye demokrasia ya kweli na uwajibikaji.
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuh hapo patamu,
   
 9. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ndugu yangu hujui system inavyofanya kazi. mf kuna jinsi ya kuandika adress ambapo sekretary anaweza kufungua na nyingine sekretary hafungui. tofautisha igp mwema na mwema igp. kaulize wakupe tofauti.
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kimsingi huu ni udhiafu na Upungufu ambao unapaswa kufanyiwa kazi mara moja....

  Hili la domain ni lazima litumike, either watumie domain ya bunge au hata ile ya CDM..........

  Lakini pia kama unalalamikia Zitto kutumia Letterhead/Headed-Paper ya Kiongozi wa Upinzani na yenye e-mail yake (yaani mbowe) badala ya kwake mwenyewe Zitto hapo nadhani hutakuwa sahihi SANA......Mimi nimewahi kufanya kazi na taasisi ambayo iko headquorted Dar na mimi niko mkoani lakini tunatumia Letterhead ya ofisi Makao Makuu ikiwa na maandishi wazi "All Correspendences to Country Director Dsm" na chini ndio unaweza ukaweka contact zako............
   
 11. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Yah, hayo ni masahihisho ya msingi kwa kweli,
  Wahusika wa CDM, kwa upendo tu bila kuchukulia kama mmedhalilishwa lifanyieni kazi hilo au kama kuna ufafanuzi wa msingi toeni.
  SLIDINGROOF endelea kufuatilia hilo.
   
 12. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu umekurupuka.

  Mtoa mada yuko sahihi kabisa. Anachotolea changamoto ni kweli. Kama tuliweza ikosoa Ikulu na kumshambulia Mkurugenzi wake mawasiliano kwa kuanzisha email kwa hizi public/free mail kwanini tusiwakosoe viongozi wa upinzani bungeni kama wanafanya kosa lile?

  No!! Tumieni private email kwa faida ya nchi na usalama. CHADEMA ni taasi makin. Uongozi wa upinzan i Bungeni ni ofisi makin.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  At least Salva has got something to cheer him up kama akisharudishiwa umeme
   
 14. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CHADEMA wafafanue hili suala.
   
 15. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  It's the content that counts.
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  interesting...
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wewe kweli uko dunia gani, unashangaza sana.
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  wamesema hivi katika hiyo baru: barua zote za kiofisi ziandikwe kwa kiongozi wa upinzani bungeni:.....hamjasoma hapo juu!!!! maana yake ni kwamba hata angekuwa ni mrema ndo kiongozi wa upinzani ...hii barua ingeeda kwake .............nyie vipi?
   
 19. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mtoa hoja ana pointi ya msingi tu!
  Mimi nina run kikampuni kidogo lakini ili kukapa heshima nina domain inayoukuwa hosted kwenye server ya local service provider wangu pungufu ya dola 200 kwa mwaka.
  Sasa kwa sababu ya security concern CDM wanaweza nunua server yao kwa bei nzuri tu kwa kuanzia hata $10,000. Kutumia email inayoonekana kibinafsi zaidi huleta tafsiri ya hasi.

  Ushauri wangu CDM wawe na server na domain yao (kama hawana) ili mawasiliano ya kawaida/jumla yaende huko. Kitu kama ni konfidensho sana ruksa kutumia email binafsi kama kuna wasiwasi na IT expert. Mbona hata simu za mkononi wakati mwingine hawa wakubwa wanakuwa nazo mbili (one known to the public).

  CDM wachukue changamoto hii kwa mtazamo chanya
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Bora gmail ya mzungu, kuliko server ya mbongo , looo. Kwi kwi kwi kwi
   
Loading...