Viongozi waliofanya vibaya ndani ya miaka hamsini ya uhuru wa tanganyika....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
....Tukiwa tumebakiwa na siku 8 kuelekea kwenye kilele cha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na kukiwa hakuna dalili njema kwa Taifa hili kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini zaidi ya kuzidi kujipatia umaskini wa kututosha..naomba tuwafahamu baadhi ya viongozi bora waliosababisha Taifa hili kuwa kwenye umaskini huu wa kutisha ndani ya miaka 50 ya uhuru wake,na ingekuwa vyema kama tukipata sababu ya kufanya kwao vibya..

Nawasilisha!!
 
Siendi mbali, naanza hapa hapa kwenye 50. Ni ******, kutokujua sababu ya umaskini wa nchi anayoiongoza ni sababu tosha.
 
Back
Top Bottom