President George Bush to visit Ethiopia, Tanzania and Zambia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

President George Bush to visit Ethiopia, Tanzania and Zambia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Otorong'ong'o, Dec 1, 2011.

 1. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  wakuu!!
  leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa.
  mimi ni mwanafunzi wa Muhimbili kwa sasa niko ocean road kwa clinical studies na inasemekana atakuja kutembelea leo hospitali ya ocean road.
  kinacho nisikitisha ni kwamba hapa ocean road wagonjwa huwa wanalala nje kutokana na ukosefu wa vitanda na maanisha hata wodi hazitoshi. leo hakuna mgonjwa nje sasa sielewi wagonjwa wamepelekwa wapi. nachoona leo ni bendera za Tanzania tu na mauwa ndo yameshamiri huku ocean road.
  je nini kilichomleta huyu rais mstaafu wa usa? au anekuja kuangalua maedeleo ya freemasons na ile miradi yake ya kigamboni?

  naomba niwasilishe mwenye kujua zaidi kuhusu ziara ya siri ya huyu mueshimiwa atujuze.
   
 2. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yuko nchini tangu week iliyopita!
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda anataka kupanua mradi wa chandarua za maleria
   
 4. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yuko nchini tangu week iliyopita, anatembelea miradi yake kule kanda ya ziwa
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  vyandarua vyake vinapitisha nzi. over
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kanunua Kigamboni yote na kule Pemba Billy Gate kisha weka makazi kwisha kazi
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu jamaa ana miradi gani kanda ya Ziwa?
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Karibu sana Tanzania. Huyu jamaa alifanya kazi nzuri sana kwa masuhala ya usalama wa dunia. Kata funua wahuni,magaidi na wafadhili wao!
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na ataenda kwenye wilaya yake KIGAMBONI
   
 10. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Alshabab wako wapi waniondolee taka taka hiyo
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hata mkapa hivi majuzi alikuwa Uingereza hakuna aliyejua pale uingereza zaidi ya wenyeji wake
   
 12. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hapa naona mambo ni motomoto maana haieleweki anakuja kufanya nini
  ila hawezi kuja bure tu kuna kitu anataka kufanya utatujuza hapa jamvini.
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Taarifa ambazo zinapewa nguvu ya usahihi na helicopter iliyo jk airport ni kuwa george bush ametua nchini leo asubuhi. kuna wafanyakazi airport wameweza kuthibitisha hili.
   
 14. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  We nafikiri ni Mwehu sijui umeingiaje Jamvini   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Keshatua leo asubuhi
   
 16. h

  hashimuhehwa New Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mambo yapo hivi ****** kwanini hatutaki kutoa! Wanaume wenzangu tuanze kutembea na sabuni ili maumivu yasiwe makari! Ndio tunasema tanzania amani ipo na viongozi wanajinadi vifua mbele!? Amakweli ukipenda dezo wanakudezo kwa raha zao! Harafu eti tunajiita vidume kifua mbele!
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Mtakoma kupenda vya bure. Mpaka chandarua iwe kwa hisani ya watu wa marekani?
   
 18. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,348
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  unauma lakini ndo ukweli hatuana chetu
   
 19. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  That was the main point bandugu, the whole Bush arrival is a BS.

  Thanks
   
 20. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Naomba nikusahihishe... Bado hajatua na anategemewa kutua muda wowote kutoka sasa hapa Dar Terminal 1... Pia amekuwa nchini tangu tarehe 27 Nov,alishukia huko Serengeti eneo mashuhuri kwa kupokea VIP's (Grumeti Reserves - Sasakwa Lodge)..Leo atakula Lunch na JK.....
  Source: Mimi mwenyewe
   
Loading...