Kati ya CHADEMA na CUF nani anadandia hoja za mwenzake?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
wana JF,
hebu tujiulize haya masuala yaliyotikisa nchi.nani hasa aliyaanzisha kati ya cuf na chadema na ni nani alidandia na kuteka hoja.

1..suala la katiba mpya

2.muundo wa serikali tatu ndani ya muungano.

3.kwenda ikulu kuongea na rais

4.maandamano

5.kutomtambua rais aliyeko madarakani.

my take...maendeleo yanapatikana kwa kuiga lakini si kila kitu cha kuiga kinaleta maendeleo.
 
jenga hoja usitukane hapa ni great thinkers.kama huna la kuchangia pita kwanza mwingine atachangia.
 
hoja ya katiba mpya ilianzishwa na cuf bada ya kuchakachuliwa mara kadhaa kwenye matokeo hasa kule zenj na ugonvi wao mkubwa ilikuwa ni tume ya uchaguzi na dai lingine ilikuwa daftari la kudumu la wapiga kura.


muungano pia ni suala la cuf hasa wazenj wanataka 3 govt ili wapate mandate ya kujiunga na OIC


kwenda ikulu inajulikana wazi kwamba kuna mmoja anataka kuvunja ndoa ya mwenzake apo.

lakini apo ujue wazi magamba yanachekelea.ingekuwa poa sana cuf na chadema wangeungana sema cdm hawawataki mashehe
 
Back
Top Bottom