Nimeonewa Sana,Nimesikitika sana , Nimeamua kujiuzulu Maisha ni Ufisadi sio Uongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeonewa Sana,Nimesikitika sana , Nimeamua kujiuzulu Maisha ni Ufisadi sio Uongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Dec 1, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Baada ya kutafakari na kuingia stoo yake na kukuta na akiba ya kutosha akaamua kujiuzulu
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Mbona kidogo sana hizo, si za Zimbabwe? mshahara wa mwezi mmoja tu huo!
   
 3. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyo ni RA au EL nini?
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Hizo zitakuwa ni za madrug dealers!

  Mkuu huyu mtoto anakojelea mlo?

  [​IMG]
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  Anaongeza Chumvi kwenye Supu
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  Zimbabwe sikuhizi hawatumii pesa zao hapo mwake mwake ni USD$ POUND
  stoo imejaa hivi hata NSSF Siendi kuchukua mafao kula tu kusubiri kufa..

  Shawarma kila siku
   
 7. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tatizo wenzio wanaona unatania awaamini thread yako siunajua tena wakina tomaso sio kosa letu,yani siunaelea mpaka kufanya utafiti kidogo,ni ngumu lakini ndio hivyo zinaenda zinapungua siunajua tena kona hii na ile watu wakiendelea kuchota zinapungua pungua polepole,ukija kushtuka Mzee wa vijenti hakukosea kuwa ni vijesenti.Wengi wanafillia wakina bakhresa ndio mabilionea wenye hela nyingi kumbe wapo madon wenyewe,ukiaambiwa hawawezi kuamini masikio yao.
   
Loading...