Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwani (CUF) amewekwa kiti moto na baadhi ya wapiga kura aliokutana nao wakimtuhumu kukaa muda mrefu Dar es Salaam bila kwenda kuwaona. Pia Baraza la Utendaji la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakulima wapatao 1000 na matrekta yao zaidi ya 500 wanaandamana hivi sasa na kuziba barabara ya Dom-Dar maeneo ya Kibaigwa kupinga kuondolewa kutoka ardhi yao na kupewa mwekezaji. Source: radio...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Wana JF, think of a situation ikatungwa sheria kuwa mijadala ya bunge iendeshwe kwa kiingereza, kitatokea nini bungeni????? Nauliza jamani
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Written by amini // 02/12/2011 // Habari // No comments Kuna hatari ya katiba mpya kuja kuuwa mkatama mama wa Muungano. Ahmed Rajab KWA vile Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Mwanzoni nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona yu dhaifu kiasi hichi? Ilikuwaje aliposhika nyazfa tofauti huko alikopita mpaka sasa. Utetezi wa Lowasa katika kikao cha chama kilichopita kimenipa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chama cha wananchi cuf kimemwandikia barua rais kuomba kukutana nae kutoa maoni kuhusu muswada na mchakato wa katiba mpya. Hiyo ndio taarifa iliyopatikana jioni hii ikulu
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Hivi siku upinzani hasa chadema wakishika madaraka ya kuliongoza hili taifa,nyie mmejiandaa kwenda kuficha wapi hizo nyuso zenu?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
World AIDS Day Commemorated | C-SPAN
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kuwa kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011, kimekiuka makubaliano yao, hivyo...
11 Reactions
455 Replies
32K Views
Akiwa amebakiza masiku machache sana katibu mkuu kiongozi mzee Luhanjo yuko katika heka heka kubwa kuwaweka watu wake katika nafasi ya ukurugezi mkuu wa PSPF na TIC, Mzee Luhanjo pale PSPF anahaha...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Bado hatujawa na muundo(structure) thabiti wa serikali Matokeo yake kuna ubadilishaji holela wa wizara. Ubadiishaji holela wa majukumu ya wizara, Uhamishaji wa majukumu idara kutoka wizara...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Mmommose yuko New York na ujumbe wake toka Bunge la Tanzania Shibuda na Ujumbe wake wakiwa Jamhuri ya Dominika pamoja na ujumbe wake. siku chache zilizopita. Misafara si ya Kikwete tu ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The protest movement that began in Tunisia in January, subsequently spreading to Egypt, and then to Spain, has now become global, with the protests engulfing Wall Street and cities across America...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaribu kuimajini wanaongea nini hapo....??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huku akitetemeka EL anasema... " ...ni kweli Ndugu Mwenyekiti kuwa tulitajwa watu watatu kwenye NEC ya April kuwa tunatuhumiwa kwa ufisadi huko "site".... Lakini niliamini yale yalikuwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Closed
Michuano ya Chalenji mwaka 2011 imeibua jambo kubwa sana katika akili yangu, na huenda ikaibua mambo mazito sana kwa watanzania wanaofikiri. Michuano hii ya Chalenji, (CECAFA), ni Michuano ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Walimu watangaza mgomo nchi nzima Send to a friend Thursday, 01 December 2011 20:42 0digg Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Posted on December 1, 2011 by zanzibaryetu Mwandishi wa Makala hii ni Dk Harith Ghassany akiwa amekaa katika bustani ya kuvutia wanamazingira wanataka kuwe na hali kama hiyo inavyojionesha hapo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu tujiulize pale Waziri wa Sanaa na Utamaduni anapotia saini makubaliano kwa niaba ya Mhe. Rais na Mh. mbunge kijana anapokubali kutia sahihi makubaliano hayo na kisha alipotoka nje ndipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yaani hamuwezi amini mkutano wawadau ulioanza saa 3 asubuhi mpaka saa hizi bado watu wako kwenye chai na picha na mgeni rasmi, ni ajabu na kweli hawa watu wanatumia pesa chungu mzima za wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…