Kumekua na mvutano mkubwa kati ya google na baadhi ya
serikali ikiwemo China kwamba huwa inatia taarifa zake bila
idhini sasa najiuliza tofauti hasa ya hivi vitu ni ipi?
Wanabodi,
Wale wenye access, watch TBC-1 now!.
Katibu Mkuu, Wilson Mukama, Dr. Bansen Banna, Shaffi Adam Shaffi na mwanahabari nguli wa the Eastafrican.
Wanaichambua dhana ya kujivua gamba...
02 DECEMBER 2011
Na Rachel Balama
MARAIS nane kutoka nchi mbalimbali barani Afrika, Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), na Makamu wa Rais wa tatu, wamethibitisha...
Kesho Chama cha Wananchi CUF kitakuwa na mazungumzo na Raisi-Ikulu kesho ilihali hakijaweka wazi nini zitakuwa ajenda.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari CUF itaanika hadharani mazungumzo yao kesho...
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya vikao vya nec ya ccm,maoni ya EL na wote waliomfatia yalikuwa yakisikika kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla hii ni kutokana na kukua kwa teknolojia ya habari...
Nimekuwa nikifuatilia mambo kadhaa yanyo jitokeza Tanzania, wabongo tumebaki watu wa kusubiri kila jambo wafanye CHADEMA, nasi tushabikie,
so CDM wanapofikia mwisho wao sisi hubaki...
Jamii inapoishi kama jamii,familia,kikundi,kabila,Taifa kuna migongano na maelewano.Hivyo kutokana na migongango na maelewamo hayo uzaliwa dhana mpya na hivyo kuibua hatua nyingine ya maendeleo...
ktk taarifa ya habari ya TBC ya saa mbili usiku,NAPE amesema kuwa chama cha mapinduzi ccm kitalichukulia hatua gazeti linalochapishwa kila siku hapa Tz kwa kuandika habari za kupotosha umma na...
Wakuu naomba kuuliza!
Hivi ni kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua salon ya nywele za akina mama pale Magomeni na kupokelewa na Rais wetu, au ndo tushauzwa? Nilishanga sana kuona...
UTEUZI wa wakuu wa wilaya na wale wa mikoa mitatu mipya unaotarajiwa kufanywa wakati wowote na Rais* Jakaya Kikwete, umezua tafrani kubwa katika baadhi ya wilaya na mikoa baada ya kuvuma kwa...
Nimesoma front page ya Mwananchi ya leo kwenye mtandao, kuna habari za CCM kuunda kamati ya nidhamu ya chama kushughulikia 'magamba' yaliyogoma kuvuka kwa hiyari. Kiini cha hoja yao ni 'utuhumiwa...
Katiba ya jamhuri ya muungano wa tz ibara 37(1)"raisi atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yeyote"
wana jf kuna uwezekano au haupo wa raisi"kudictate"?bila itikadi na...
Lowassa amtisha Kikwete kujiokoa
*Vita ya ufisadi yageuzwa vita ya urais
*Mchezo mchafu wahusisha familia
*Mukama: Hakuna fisadi atakayepona
Na Waandishi Wetu
WAKATI Waziri Mkuu wa...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefu bila kupata majibu,kwanin Vijiji vya Ujamaa havikuwahi kufika Kilimanjaro hususani Uchaggani na Bukoba?
Kama nakosea ruksa kunisahihisha,lakini sijawahi...
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha
Wanabodi,
Ule msemo wa " Kunguru mwoga, hukimbiza bawa lake!" leo umeendelea kwa Chama Cha Mapinduzi, kumuopa kada wake RA kana kwamba ni mungu mtu, hivyo sasa kinamtishia nyau kumpeleka...
Mnyika: Jitokeze kesho, 2nd Dec, 2011 Ukumbi IFM ktk Mkutano wa wadau ulioitishwa na TANESCO!Kukataa ongezeko la bei ya umeme
Kesho tarehe 2 Disemba 2011 katika Ukumbi wa Makumbusho Dar es...