"if you are stand for nothing,you will fall for anything"

mdaumie

Member
May 12, 2008
77
1
Leo wana JF katika pitapita mitandaoni nimekuta hiii quote "if you are stand for nothing,you will fall for anything" nikaitafakari kwa mapana kwangu mie binafsi na taifa langu Tanzania.Je nini mimi binafsi nimesimamia na je nini Tanzania imesimamia?

majibu kuhusu mimi binafsi nimejijibu na kujielimisha kwa hiyo quote,Lakini kwa majibu kuhusu Tanzania mimi kama mimi nimeona hatujasimamia kwa jambo/kitu chochote kile hadi tunatimiza miaka 50 ya uhuru na kwa maana hiyo tunashindwa kwa kila jambo/kitu.Mifano ya kushindwa huko mfano hakuna sekta yoyote ambayo tumefanya vizuri si kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa Tanzania,si Madini,Michezo n.k.


Kwa mtazamo wangu Marekani(USA) wamefanikiwa kwa kusimamia katika Uchumi na ndio maana wamefanikiwa kwa kila sekta.


Je nini mtizamo wako kuhusu hiyo quote kwako wewe binafsi na Tanzania?
 
Back
Top Bottom