Kwa nini wabunge wasijengewe hostel badala ya kukaa hotelini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wabunge wasijengewe hostel badala ya kukaa hotelini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Dec 11, 2011.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jana nilimkalili mbunge Shelukindo akidai nyongeza ya Posho ni kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha mjini DODOMA na inavyoelekea hizo gharama ni kwa wabunge tu na si kwa wananchi wa Dodoma na Tanganyika kwa ujumla.
  Kama tatizo ni Gharama za hoteli za kifahari wanazotaka kulala ni kwa nini wasijengewe hostel zenye mazingira ya kihoteli ili wote wawe wanafikia huko na hizo posho zikapelekwa katika shughuri zingine za kijamii kama vyuoni,hospitalini na nk.....

  Wadau naomba wmawazo yenu pia juu ya hili
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Thats a briliant idear, kweli wewe ni great thinker, ila hawakawii kuja na reasons za privacy unajua tena,
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hii hoja. Kwa kuwajengea hostel za kisasa tutaweza kuokoa Shilingi Bilioni 5.4 kwa kila mwaka (Wabunge 300 x Tsh200,000 x Siku 90) kwa mikutano ya Bajeti pekee ambayo ni mirefu kuliko mikutano yote ya Bunge.
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Una mawazo mazuri sana ila kwa serikali yetu iliyotukuka ya JK sidhani kama wanaweza wakafanyia kazi hata sekunde hayo mawazo.
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno,good idea.Kupunguza gharama.Ila wenye hotel hawatafurahia hata kidogo.
   
Loading...