Viongozi wa posho watatufikisha wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa posho watatufikisha wapi?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mzamifu, Nov 27, 2011.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha kuonana kuwa viongozi wengi hapa tz ni viongozi wa posho. Yaani wanatafuta uongozi kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Wakishapata uongozi wanakuwa hawajui hata la kufanya. Watautetea mfumo uliopo hata kama wanaona kuna upungufu ili maradi wanapata maslahi yao. Hawapendi kuwasikia wapinzani wala wana harakati au watu wenye mawazo mbadala kwa vile wanaogopa kupoteza nafasi zao.
  Hii inadhihirishwa na hali ya kung'ang'ania madaraka hata kama wametenda kosa. Hakuna uwajibikaji. Kwanini katika nchi zilizoendelea viongozi hujiuzulu kwa kuwajibika na sio tanzania?
  Wasomi na wanazuoni wachache wamenaswa na mtego huu wameacha taaluma zao na kukimbilia siasa ili wanufaike. Viongozi wajue kuwa mahela wanyojipangia ni jasho la watanzania hivo wanapaswa kuwarudishia kwa kwawatea maendeleo. Wakiendelea kufikiria maslahi yanayoambatana na vyeo vyao bila kufikiria kwanza wanatakiwa kuwafanyia nini wananchi hatutafika popote!
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu tunahitaji nabii kutuondoa kwenye hili ombwe. hebu fikiria wazo la kufuta sitting allowance viongozi wetu macho yalivyowatoka, ukiona hata waziri mkuu anashabikia basi tumekwisha. Na ushahidi upo pale tulipoona waziri mkuu na spika wamesaign posho za kikao cha muda mfupi tu! kumbuka hawa tunawahudumia kila kitu ....nguo malazi etc. Ona mpaka leo wiki ya pili wote walionekana na kamati teule wamefuja pesa za walipakodi hakuna hata mmoja aliyechukua hatua au kuchukuliwa hatua. wanaogopana.. mwaga mboga ni mwage ugali. Mungu tusaidie, nabii atapatikana tu.
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kamuulize Anne makinda.
   
 4. L

  LIZAPIA Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingikuwa mimi ndio mkuu wa majeshi tanzania...ningetumia wale makomandoo kuwakangaa mafisadi wote....LOWASA,KIKWETE,RIDHIWANI,PATEL,ROSTAM, etc
   
Loading...