Huyu ndio rais anayetufaa

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja kwa kassiiiiiiiiiii kwa hawa waheshimiwa.
 
Attachments

  • Salim A Salim(4).jpg
    Salim A Salim(4).jpg
    13.3 KB · Views: 78
Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja kwa kassiiiiiiiiiii kwa hawa waheshimiwa.

alikuwa anafaaa!!!!!Lowasa na Rostam wakamchakachua!!!umri umekwenda apumzike amalizie maisha yake!!!asije akafia madarakani!!!!
 
Huyu hatoweza tena atakua hawezi hata kujenga hoja ya nguvu tena
na hatakiwi afikirie mambo mazito ya nchi.
 
alikuwa anafaaa!!!!!Lowasa na Rostam wakamchakachua!!!umri umekwenda apumzike amalizie maisha yake!!!asije akafia madarakani!!!!

Kaka sio kama unavyofikiria, pia umri sio kikwazo..umri huo ndio kigezo cha kufaa pia then operation boy ya government yake ipate double DRz..hawa Magufuli na Slaa....speed na standards zao utaona Tanzania inabadilika ndani ya mwaka am telling you this is the right man we should have for the better future.
 
Ni jambo la kusikitisha pamoja na matatizo watanzania tuliyonayo bado watu wanapiga kampeni za uraisi utakaofanyika miaka 4 ijayo! Kama mtu ni mwema na anafaa kuwa raisi miezi sita tu inamtosha kufikisha ujumbe kwa watanzania wote na kama kweli ana dhamira ya kweli watanzania wa sasa watamuelewa. It is irrogical kuongelea mambo ya urais sasa utadhani uchaguzi ni march mwakani. Dr Slaa hakuwai mahala popote pale kuonyesha nia ya kugombea urais na alipoombwa kugombea na chama chake kwa sababu ya uadilifu wake Chama cha magamba wanamheshimu mpaka sasa na kimsingi ni rais anayetawala nyoyo za watanzania wengi na hilo kikwete Mwenyewe analitambua! Tujadili changamoto zinazolikabili taifa kwa sasa suara la urahisi isiwe hoja ya msingi kwa sasa! If you are smart no need of investing much in the media, if you are corrupt no matter how much you invest in the media Tanzanians of today will never repeat the same mistake!Handsome is costing the nation and these costs to be covered we need more than 100yrs! Makosa tuliyoyafanya yatatugharimu si chini ya miaka 50-100 kuyasahihisha!
 
Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja kwa kassiiiiiiiiiii kwa hawa waheshimiwa.
you must be crazy. una maana Dr W.p Slaa avae gamba au hao waje CDM? Usituletee mambo ya zenjibar huku Tanganyika. never repeat your nonsense.
 
He is not strong enough to deal with Tanzanians,,,

It is time now we get a strong man like KAGAME...

He is...MAN! A man of reasoning in every day n day of his life. He knows exactly how this country grew-up,where it is now and where should it go...may u please go through his statements N actions u ll discover what am I insisting about. Let us put politics a-side men if we real want changes in our Nation...Otherwise we ll keep on crying every day over in bringing these currently nice talkative politicians looking for wealth through popularity of theirs n their youth groups. I conclude, in reality with no personal interest the development in Tanzania needs only 3Drz,...Salim,Magufuli n Slaa as a top figure,note for existing top known ones politician. PERIOD
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Dr W. Slaa ndiye Pekee mimi binafsi naamini anaweza kutuvusha, kwa sababu dhamira yake ya kutenda haki inatoka moyoni, tusijidanganyane kwa wengine.
Hakuna cha Salim wala magufuli.

na zaidi ya yote ' Tatizo sio mtu tatizo ni chama yaani ccm' hilo ndilo tatizo.
 
you must be crazy. una maana Dr W.p Slaa avae gamba au hao waje CDM? Usituletee mambo ya zenjibar huku Tanganyika. never repeat your nonsense.

Yes am crazy as u re too..!caz I believe in such people n u believe on others that I do not want 2know. Do u still think Tanzania will be lead by only a single part?sorry 4u..! Nonsense is in ur brain n fingers those wrote gambaz and political parties ideas while we think on National issues. Shame on u.
 
Awe rais wa wazenji!huku Tanganyika asikanyage!Dr W Slaa ndiye rais wa Tanganyika.
 
Ni muadilifu lakini yuko baridi kama Pinda alivyo na wakati huu wa mapambano makali ya ufisadi na mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia hafai hata kidogo kuwa Presidaa na pia umri umeshakwenda
 
Huu si wakati mwafaka kujadili urais, tuna matatizo kibao kujadili ufumbuzi wake,mgao wa ngereja,katibu,dowans,rada,posho za mjengoni,shule bila walimu,hospitali za kupima kwa macho,mikopo ya wanavyuo,n.k bado miaka 3 na zaidi the ndo urais uwe hot issue
 
Kwani mwenzetu unafikiri haya matatizo yanatokana na nini?? Kama serikali imeshindwa kutatua swala hilo kwa miaka 6 unafikiri kuanauwezekano wa kufanya hivyo ndni ya miaka minne??
 
Mnao wataja wafai kutawala nchi ya kikapuku kama bongo land.Nchi yenye watu wenye ujauzito wakufikiri,jamii iliyooza kimaadili na ujuha uliokithiri!Let wait and see
 
Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja kwa kassiiiiiiiiiii kwa hawa waheshimiwa.
Rais mnayemtaka wewe na nani? labda ungesema Rais unayemtaka ningekuelewa.
 
Rais mnayemtaka wewe na nani? labda ungesema Rais unayemtaka ningekuelewa.
Mimi ma rafiki zangu na watanzania wengi walio masikini kasoro wewe mrundi usiyena umuhimu wa wachapa kazi kama niliowataka na kutaka wapenda vyeo bila utendaji na dhamira ya dhati kuokoa maisha ya watu na maendeleo ya taifa letu
 
Well, Dr. Salim Salim the greatest Diplomat we ever had on our land, lakini could not deal na our local politics. Mwalimu overprotected him leading Mwalimus political enemies to become his bitter foes especially Mtandao who exposed his polical weakness as never before na since he was always overprotected he could not answer the attacks and too bad the protector was long gone. To me Salim is the greatest Diplomat that never learned the art of local politics, even though he had everything in his disposal to deal with his political problems before the protecter was gone. In the process of creating him politically, the protector also killed his local politics chances because of the reasons why he was being overprotected! Protecters political enemies knew it and too bad some of them are still a live making Salim chances to ever lead this Nation impossible. - Le Baharia
 
Let Protecters make impossible...u know why they dnt creat such a chance 4Salim,but we can make possible Yes...n it is even better 2say, announce, proud n choose Salim as our top leader. He is material president we have coupled with such two visional leaders (Magufuli n Slaa) Tanzania can be made a nice state to stay in the world.
 
Watanzania wananichosha kitu kimoja. Wanapenda kurecycle watu hawapendi vipya. Hakuna Watanzania wengine wenye vigezo vya kuwa raisi? Tuna sahau nchi ina wananchi zaidi ya milioni 40 lakini tuna ng'ang'ania kundi lile lile la wachache. Ina sikitisha.
 
Back
Top Bottom