Maana ya maelezo ya vikao vya bunge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana ya maelezo ya vikao vya bunge!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by G spanner, Dec 11, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba maelezo ya maelezo ya vikao vya bungeni wanaposema mfano bunge la kumi kikao cha tano mkutano wa tano je kusema bunge la ngap kikao cha ngap na mkutano wa ngap wanamaanisha nini?
   
 2. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Mdogo wangu pombe za kukesha ndo matokeo yake hayo, kazimue then rudi utakuwa fiti mzee.
   
 3. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  jama mara nyingine tusifanye mambo kwakuwa tu unaacess ya kuchangia unachokiona plz try to think twice before you writeout na tutoe logic view.swali langu linasomeka vizuri kama unaidea na hayo nahitaji majibu!
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukiona hivyo ujue hajui,ngoja wataalamu waje wakujuze
   
 5. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nadhani ukiwauliza wazee wa posho watakupa jibu swadakta.
   
Loading...