Tusimuandame na Kumlaumu Lowassa bila Kutafakari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusimuandame na Kumlaumu Lowassa bila Kutafakari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Dec 13, 2011.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pamekuwepo na wimbi kubwa la kumlaumu na kumkejeli Lowassa kwa muda mrefu hivi sasa ,lakini wa Tanzania wanashindwa kuzitumia aliki zao kufiri badala yake wamekuwa na akili za kuchangiwa naweza kusema ule msemo wa nchi nyingi duniani wanaosema wa Tanzania akilli zao ni (evereji )si uongo leo angalia nchi nzima Tunakubaliana na kikundi cha watu wachache waliopo madarakani wanatwambia huyu Bwana Lowassa hivi vile na tunawaunga mkono hata bila kutumia akili zetu kufikiria na ndio maana Tanzania itakumbana na kimbuka kikubwa cha machafuko ambacho hakijawahi kutokea katika bara la Afrika ikiwa tutaendele katika hali kama hii ,Mkuu Lowasaa amekuwa katika serekali akishirikiana na viongozi wenziwe katika kufanya mamuzi ya kichama na kiserekali ikiwa kupora au kupinduwa jambo lolote lile ambalo wao kwa wakati ule wanaliona halina tija nalo kama vile kuiba kura kumpokonya mshindi ushuindi wake yote hayo walikuwa wakiyafanya kwa pamoja sasa leo inafika mahali wanamwambia angatuke ,hii kweli inaingia manani ?katika akili ya Mwanadamu?Mr Lowassa anajuwa mbinu zinazofanywa kumuondowa yeye kwani na yeye alikuwa katika gengi hilo hilo ambalo hivi sasa wanamtaka yeye angatuke , sasa leo akubali kungatuka kwa mbinu zile zile walizokuwa wanazitumia kuwafurusha wengine ?isitoshe anaelewa mwenendo mzima wa mipango hiyo,mie si mpemzi wa lowassa hanijuwi si mjuwi lakini namuomba kwa njia zozote zile au kwa hali yeyote ile usiondoke usiondoke shikili mnjororo huo huo ,ikiwa uliweza katika kikao kilichopita itakuwaje ushindwe katika hivyo vikao vitakavyo fuata ?hii nchi si ya Baba yake mtu yeyote , kama ni machafu kuna machafu yamefanywa na viongozi ambao bado wameshika hatamu.
   
 2. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  NARUDIA TENA MLAANIWE NYOTE MNOMUBEBA MAMVI!!!NINYI NA ZAO ZENU ZOTE!!!!!!MUWE NA HURUMA NA ndugu zetu wanaokufa kwa gongo!!wanaobebeshwa mimba !!!!!huku rasilimali za nchi hii mkizifanya zenu na kuja hapa kutufanya hatuna akili!!mlaaniwe!!!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Lowassa ana tuhuma nyingi kumbe...mpaka kubebesha watu mimba!
   
 4. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha ukichaa wa asubui wewe,wanaobebeshwa mimba Lowassa anawabebesha? wanaokunywa gongo Lowassa anawanywesha? uzembe wako usimtishe mtu mzigo,halaaniwi mtu kwa kuwa kinywa chako kimejaa fitina na uchafu.
   
 5. obm

  obm Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu mamvi miaka ya themanini aliumiza sana watu wa kutoka kilimanjaro waliokuwa wanafanya kazi arusha ni mkabila ajabu nilimuona mbaya kipindi kile na ndiko alikoanza kufuja mali anayemy
  tetea asijee
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thread ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu
   
 7. B

  BMT JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  hakuna wa kumubeba,ila alichokieleza nec ccm dodoma kina mantiki kubwa sana,mwenzetu weye ndo nakuona wa hovyooooo na familia utokayo ni hasara tupu,eti nawewe great thinker kweli?toa sababu za wewe kumchukia maaana unalalama tu utafikiri umekojolewa,
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Didnt know that Lowassa is a polygamist!
  OTIS
   
 9. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaani mwacheni mzee wa watu..,kashajua uraisi haupati tena katika maisha yake! jamani asafishwe hata kidogo jamani...,muuoneeni hurumu EL
   
 10. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Usimusafishe Lowassa bila kutafakari!!!
  Kwani hakuna watu wengine wanao Chafuliwa???
  Mbona Sitta Mbowe wanachafuliwa lakini hujawatetea??
  Mbona Slaa kachafuliwa na Ndoa yake lakini hujamtetea ??
   
 11. libent

  libent JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu huyo anakojelewa kwenye nini? Nirudi kwenye topic lowasa anabebeshwa lawama za ufisadi kwa sababu anashindwa kujisafisha kwenye jamii anaishia kusemea kwenye vikao vya magamba wenzie akitaka kuwa msafi aje kwa wananchi aseme ukweli aone kama wananchi wataendelea kumuita fisadi anaogopa nini
   
 12. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Na mlaaaniwe wote mnaomchafua Edo bila ushahidi!
   
 13. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  eti slaa kachafuliwa na ndoa yake loh!
   
 14. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kama unampenda sana we mpe...hoja yako haina mashiko haitusadii kupunguza bei ya sukari, sana utaambulia matusi el hafai hata mwenyekiti wa mtaa atatuibia kuku zetu
   
 15. J

  Jadi JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  kweli watz tupotofauti,Lowasa ana walionufaika,wengine wapo nje ya nchi na hawaguswi na ufedhuli wake hata kidogo. Naomba mtuache tunaoathirika naye tupumue humu JF,wanufaika wa EL msituzibe midomo,nashangaa sana
   
 16. T

  Thesi JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  za kuchagua viongozi wazuri wakipanga uovu
  huo EL nae yuko kwenye kamati; kamati ya
  mafisadi JK mwenyekiti EL katibu, kamati ya
   
 17. T

  Thesi JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wabonngo kweli bongo efereji. Siamini mpaka sasa wameshindwa kukuelewa. Unachosema ni kuwa system yote imeoza na c EL tu. Wanawanyima wananchi fursa za kuchagua viongozi wazuri wakipanga uovu
  huo EL nae yuko kwenye kamati; kamati ya
  mafisadi JK mwenyekiti EL katibu, kamati ya kujipa tenda serikalini EL mwenyekiti, JK katibu, SS mwanachama nk. Kwa hiyo watasemaje ni mwovu peke yake? Wasitake kutupumbaza kuwa wao angalau wakati wote waovu. Awe EL, awe JK, awe SS , awe Maghufuli wote hawafai.
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Similarly, Kumtetea Lowassa bila kutafakari ni upuuzi usiovumilika.

  Hata yeye mwenyewe ameshindwa kupata ujasiri wa kuwaambia watanzania kwamba yeye ni msafi, ndo maana anakimbilia mahali ambako Hawezi kuwa challenged baada ya kuwatia upofu wa michango yake yenye dhamira ya kujitakasa na kutakasa fedha zake haramu.
   
 19. d

  dotto JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  zile ranchi za wanyama wa kufuga vipi amerudisha????? akome! tamaa mbele mauti ya urais nyuma.
   
Loading...