Mzee Mtei alikataa wazo la waziri gani?

noma

Member
Apr 11, 2011
49
8
Katika televisheni ya taifa TBC1 kulikuwa na mahojiano na gavana wa kwanza wa Benki kuu ya Tanzania mzee Mtei. Moja ya swali aliloulizwa ni changamoto alizokumbana nazo wakati yu gavana. Katika kujibu akasema ni kukataa wazo la waziri mwenye dhamana ya fedha kwa wakati huo juu ya mkandarasi gani ajenge jengo la Benki kuu. Naomba kufahamishwa waziri wa fedha kwa wakati huo alikuwa nani?

Note: Benki kuu ilianzishwa January 1966
 
asante joka kuu. Lakini inaonekana Mtei alikuwa mtu wa msimamo sana maana jinsi alivyokuwa anasisitiza jinsi alivyokataa ombi la waziri anajiamini sana. Hivi alitofautiana nini hasa na Mwl Nyerere?
 
Kwa nini hawa ndio wasitunukiwe tuzo za mashujaa wetu?..

chief.jpg
 
..nimeangalia kwenye tovuti ya Wizara ya Fedha kuhusu miaka 50 ya uhuru.

..Mawaziri wa Fedha wa Tanganyika huru na baadaye Tanzania ni hawa hapa.

1.Sir.Ernest Vassey

2.Paul Bomani 1962--1965.

3.Amir Jamal 1966 -- 1972.

4.Cleopa Msuya 1974 --1975.

5.Amir Jamal 1976 -- 1977.

6.Edwin Mtei 1978 -- 1981.

8.Amir Jamal 1982.

9.Prof.Kighoma Malima 1983 -- 1985.

10.Cleopa Msuya 1986 -- 1989.

11.Steven Kibona 1990 -- 1993.

12.Prof.Kighoma Malima 1993 -- 1994.

13.Lt.Col.Jakaya Kikwete 1994 -- 1995.

14.Prof.Simon Mbilinyi 1995 -- 1997.

15.Daniel Yona 1997 -- 2001.

16.Basil Mramba 2001 -- 2005.

17.Zakhia Meghji 2005 -- 2007.

18.Mustafa Mkulo 2007 --

NB:

..kwenye blue maana yake mhusika ametumikia wizara ya fedha kwa vipindi zaidi ya kimoja.

..kwenye red ni mwanamama pekee aliyetumikia kama waziri wa fedha.
 
..nimeangalia kwenye tovuti ya Wizara ya Fedha kuhusu miaka 50 ya uhuru.

..Mawaziri wa Fedha wa Tanganyika huru na baadaye Tanzania ni hawa hapa.

1.Sir.Ernest Vassey

2.Paul Bomani 1962--1965.

3.Amir Jamal 1966 -- 1972.

4.Cleopa Msuya 1974 --1975.

5.Amir Jamal 1976 -- 1977.

6.Edwin Mtei 1978 -- 1981.

8.Amir Jamal 1982.

9.Prof.Kighoma Malima 1983 -- 1985.

10.Cleopa Msuya 1986 -- 1989.

11.Steven Kibona 1990 -- 1993.

12.Prof.Kighoma Malima 1993 -- 1994.

13.Lt.Col.Jakaya Kikwete 1994 -- 1995.

14.Prof.Simon Mbilinyi 1995 -- 1997.

15.Daniel Yona 1997 -- 2001.

16.Basil Mramba 2001 -- 2005.

17.Zakhia Meghji 2005 -- 2007.

18.Mustafa Mkulo 2007 --

NB:

..kwenye blue maana yake mhusika ametumikia wizara ya fedha kwa vipindi zaidi ya kimoja.

..kwenye red ni mwanamama pekee aliyetumikia kama waziri wa fedha.

17,18 wametuingiza shimoni kabisaa pamoja na gavana wao!
 
Asante Joka kuu. Taarifa yako inasaidia kupata taarifa. Na ni taarifa za kiuchunguzi
 
Asante sana Joka Kuu kwa kumbukumbu nzuri. Nadhani itakuwa kabla ya Mtei mwenyewe kuwa Minister of Finance.
 
baada ya kupewa hiyo orodha ya mawaziri wa fedha tangu uhuru, kwa hiyo umejua kwa wakati huo waziri wa fedha alikuwa ni nani...??
 
..nimeangalia kwenye tovuti ya Wizara ya Fedha kuhusu miaka 50 ya uhuru.

..Mawaziri wa Fedha wa Tanganyika huru na baadaye Tanzania ni hawa hapa.

1.Sir.Ernest Vassey

2.Paul Bomani 1962--1965.

3.Amir Jamal 1966 -- 1972.

4.Cleopa Msuya 1974 --1975.

5.Amir Jamal 1976 -- 1977.

6.Edwin Mtei 1978 -- 1981.

8.Amir Jamal 1982.

9.Prof.Kighoma Malima 1983 -- 1985.

10.Cleopa Msuya 1986 -- 1989.

11.Steven Kibona 1990 -- 1993.

12.Prof.Kighoma Malima 1993 -- 1994.

13.Lt.Col.Jakaya Kikwete 1994 -- 1995.

14.Prof.Simon Mbilinyi 1995 -- 1997.

15.Daniel Yona 1997 -- 2001.

16.Basil Mramba 2001 -- 2005.

17.Zakhia Meghji 2005 -- 2007.

18.Mustafa Mkulo 2007 --

NB:

..kwenye blue maana yake mhusika ametumikia wizara ya fedha kwa vipindi zaidi ya kimoja.

..kwenye red ni mwanamama pekee aliyetumikia kama waziri wa fedha.
Asante mkuu jokakuu
 
............................... nimewasoma ........................... nimejua jambo........................ asanteni
 
Bruker,

..hata mimi kuna jambo nimelijua very interesting kwa mijadala inayoendelea hapa JF.

..hii listi nimeitoa kwenye website ya wizara ya fedha kwa hiyo credits should go to them.
 
Back
Top Bottom