"Makamanda nimetoka gereza la Keko jana Alhamisi Desemba 15, 2011 kwa dhamana ya wadhamini wawili waliosaini bond ya shilingi milioni 5 na mdhamini mmoja kuweka rehani hati ya nyumba yake yenye...
Msafara wa Pinda waleta kero Arusha
na Grace Macha, Moshi
MSAFARA wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, juzi ulizua tafrani mjini hapa baada ya watu kukaidi amri ya kuegesha magari yao...
: MPs settle
disputes with their hands
14 Dec 14, 2011
MOGADISHU, Somalia
- A fight
broke out in Parliament today
when a group Members of the
Transitional Federal Parliament
(TFP)...
Kuna jambo ambalo sijalielewa hadi sasa, kama serikali inauwezo wa kuwalipa Tsh 80,000 kwa kujikimu, mafuta Tsh 50,000, posho za kukaa kwenye kiti 200,000 ni sawa na 330,000 kwa kila mbunge ambapo...
HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC) ambayo imeadhimisha miaka 40 toka kuanzishwa kwake inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uharibufu wa mara kwa mara wa mashine za TC-Scan pamoja na...
Ile kesi ya maandamano ya tarehe 5,inayowakabili viongozi mbalimbali wa CHADEMA,Mbowe,Dr Slaa,Mwigamba na wengine itaendelea kusikilizwa Jumatatu,awali wakili wa utetezi aliweka pingamizi akiiomba...
Katika kuhakikisha anapambana na kufunika hoja ya wanachama wanaotaka James Mbatia ajieleze kuhusu kukidhoofisha chama na kuwa kibaraka wa CCM tayari Mbatia amemvua Kafulila Ukatibu mwenezi wa...
Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam.
===============...
Mimi siamini na wala sitakubali kuamini kuwa eti ''KAMA SIO JUHUDI ZA NYERERE, TANZANIA TUNGEKOSA UHURU....AU TUNGEKUWA HATUNA AMANI'' kama Komba na wenzake walivyoimba!!
Huu wimbo ulipigwa sana...
Habari Ndugu zangu..,
Leo napenda kutoa la Mayoni Pamoja na Maoni Kuhusu sisi Watanzania na Nnchi yetu Iliyojaawaliwa kila aina ya Rasilimali Pamoja na Watu waliojaaliwa upendo,Amani na Umoja...
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo
Pengo: Posho za wabunge ubinafsi
AONYA BILA KATIBA MPYA UCHAGUZI MKUU 2015 UTAKUMBWA NA GHASIA...
Mbunge wa Shinyanga Mjini Mh. Stephen Masele aliyeshinda kwa kura moja anaongoza ujumbe wa CCM kwenda kuangalia na kulinda haki kwenye uchaguzi wa Gabon unaotarajiwa kufanyika kesho.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Lucy Nkya
MADAKTARI BINGWA WATEMA CHECHE POSHO ZA WABUNGE
Madaktari Bingwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wametapika nyongo na kuieleza...
Wakuu,
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Dr Slaa kujibu upotoshaji wa Mwandishi Mayage S Mayage.
Hoja kuu mbili za Mayage zilijibiwa;
1. Chadema wanafanya uanaharakati na siyo siasa
2...
Maraisi wote wa EAC walituma wawakilishi tu kwenye miaka 50 ya uhuru ambayo JK aliikuza sana kulikoni stahili yake.................kwa khali ya umasikini tulionao swali la msingi hizo hela za...
Julius Mtatilo , Amewambia Waandishi wa Habari kuwa ,utaratibu wa kuitisha mkutano wa matawi ya Manzese na Mabibo haukufuata na Kwamba katika Mgogorio huo hamadi Rashidi Mohammed alikodi kundi...
Nimefurahia jinsi huyu mzee anavyofafanua jinsi wabunge wanavyoongezewa maslahi, Kweli huyu mzee ndio alitakiwa awe Rais wa nchi hii.
Fuata hii link: chadematv's Channel - YouTube
- I mean people, hii ishu mbona haiondoki toka Mwaka juzi inazunguka zunguka tu bila FACTS, Je ni nani hasa yupo nyuma ya hii ishu? Inaonekana Wabunge wa vyama vyote wapo involved maana...
Taarifa kutoka kitengo cha habari Hq Cuf zinaonyesha kuwa Seif ataongea na Media kesho huko Pemba na Jpili anaongea na wanachama Dsm.Hali ya Seif kisiasa ni mbaya baada ya Hamad Rashid kuanza...
Inaelezwa kuwa Tume ya Bunge wakishilikiana na wabunge walimwekea Spika Makinda shinikizo kubwa wakitaka posho mpya na kama angeshindwa, walimtisha kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye na...