MB wa Shinyanga Mjini aenda Gabon kulinda kura! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MB wa Shinyanga Mjini aenda Gabon kulinda kura!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Dec 16, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbunge wa Shinyanga Mjini Mh. Stephen Masele aliyeshinda kwa kura moja anaongoza ujumbe wa CCM kwenda kuangalia na kulinda haki kwenye uchaguzi wa Gabon unaotarajiwa kufanyika kesho.
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Duh!
  hope watapigwa mabomu wasirudi tena, wafie hukohuko!!
   
 3. M

  Masscom Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  kaenda kuwafundisha kuiba kura?. si wamezoea kuiba huku kwao!
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,608
  Trophy Points: 280
  Hawaoni aibu kumjumuisha mbunge aliepita kwa mizengwe ambayo imevunja record??hadi leo msimamizi wa uchaguzi hajulikani alipo mara tu baada kudanganya umma na kutangaza matokeo ya uongo!!ataweza kusimamia haki huyu kweli??sidhani na haitawezekana mwizi na mwenye dhana dhaifu na potofu dhidi ya upinzani...atashabikia chama tawala tu kishinde!!hawajui hata nini maana demokrasia ya vyama vingi
   
 5. PATOXIC

  PATOXIC Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi mnaojua uhusiano wa Kikwete na Mh. Masele wekeni wazi jamii ijue! Je, uhusiano wao ni kwa maslai ya nani? Sio hivi hivi tu kuna kitu hapo.
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  CCM wamempeleka kozi ali feli somo la kuiba utaibaje kura moja tu?
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Swali zuri sana wana shy watujuze,maana nilikuwepo kwenye msiba wa Masele aliyegombea ubunge kupitia cdm nakushindwa kwa kura 1,ulikuwa na vazi au kitu chochote rangi ya kijani unapigwa ukweli hali ilikuwa tete sana japo
  hamna medias zilizo ripoti kwa kina
   
 8. G

  Godfrey GODI Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwizi kusimamia mwizi asiibe? Masele hakushinda na wala sio mbunge wa shy ni mbunge wa dar na dodoma. Hana wa kumuongoza. Anapataga taabu sana akija jimbon, anazomewa na kubezwa wazi wazi.
   
Loading...