Kesi ya maandamano inayowakabili Kamanda Freeman mbowe na wenzake kuendelea 20.12.2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya maandamano inayowakabili Kamanda Freeman mbowe na wenzake kuendelea 20.12.2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Dec 17, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ile kesi ya maandamano ya tarehe 5,inayowakabili viongozi mbalimbali wa CHADEMA,Mbowe,Dr Slaa,Mwigamba na wengine itaendelea kusikilizwa Jumatatu,awali wakili wa utetezi aliweka pingamizi akiiomba mahakama itupilie mbali mashtaka yanayowakabili wateja wake,kwa madai kuwa hayana msingi.Wakili wa Serikali aliomba muda hadi Jumatatu ili azipitie pingamizi
   
Loading...