Uhuru bila nyerere

New2JF

Senior Member
Oct 25, 2011
123
27
Mimi siamini na wala sitakubali kuamini kuwa eti ''KAMA SIO JUHUDI ZA NYERERE, TANZANIA TUNGEKOSA UHURU....AU TUNGEKUWA HATUNA AMANI'' kama Komba na wenzake walivyoimba!!
Huu wimbo ulipigwa sana kipindi cha msiba wa Nyerere!!
 
Back
Top Bottom