Kwanini Bunge lisijenge majengo kama hotel maalumu za kulala wabunge kipindi cha Bunge?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Bunge lisijenge majengo kama hotel maalumu za kulala wabunge kipindi cha Bunge??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGAMBA MATATU, Dec 17, 2011.

 1. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Kuna jambo ambalo sijalielewa hadi sasa, kama serikali inauwezo wa kuwalipa Tsh 80,000 kwa kujikimu, mafuta Tsh 50,000, posho za kukaa kwenye kiti 200,000 ni sawa na 330,000 kwa kila mbunge ambapo kwa siku 1 wabunge wote watalipwa milion116.8, ambapo ni sawa na bilion 28 kwa wabunge wote kwa mwaka,

  >> Je serikali haina uwezo wa kutenga hizo pesa kwa mwaka mmoja ili kujenga hotel maalumu tena ya kisasa kwa ajili ya wabunge ili kupunguza matumizi ya pesa yasiyokuwa na msingi kwa miaka mingine au kwakuwa sheriana bajeti zote huwa zinafanyika bungeni kwamaana wabunge hawawezi kuweka hilo wazo na kulipitisha kwakuwa watakuwa wanakosa posho za pembeni.??

  >> Mbona jengo la bunge la kisasa wamejenga kwanini hawakuamua kuwa wanakodi hotel kwa ajili ya kuendeshea vikao?????
   
 2. zululima

  zululima Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simple, nyumba alizoacha mkoloni wameuza, ili viongozi walale mahotelini(private hotels) sasa leo watajengaje hostels ili kupunguza gharama? wao shida yao ni kulala hotelini ili kupata ulaji labda cameron awabane na ile kitu yake.
   
 3. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60