William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- I mean people, hii ishu mbona haiondoki toka Mwaka juzi inazunguka zunguka tu bila FACTS, Je ni nani hasa yupo nyuma ya hii ishu? Inaonekana Wabunge wa vyama vyote wapo involved maana haiwezekani ikawa sisi wananchi tunawaambia hawa Wabunge na Serikali kwamba hatuitaki hii ishu, lakini kila siku inaibuka tena kama haijawahi kuguswa, haya ndio matatizo ya kutawaliwa na Katiba ya chama kimoja kwenye vyama vingi!
- Ndio maana tunasema sana kwamba Wale wote waliomo Bungeni, na kwenye hivi vyama vyetu vya Siasa, wakiruhusu kupitishwa tena kwa Katiba ile ile ya zamani kama inavyoelekea sasa, watatafunwa sana na hiyo dhambi ya Taifa tufike mahali kwenye katiba tuwe na kipengele cha kuwafukuza Wabunge magoi goi na hata viongozi wa Serikali magoi goi, wabunge tumewachagua wenyewe halafu wanatuletea kiburi WHY? kama vile hatukuwachagua?
- I mean tufike mahali labda tufute kabisaa hiyo posho maana this is insane!, hawa Wabunge mbona wana kiburi sana?
William @...NYC,USA: Mutuz Big Show!