Philemon Luhanjo: Ni nini kazi yake? Mbona hastaafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Philemon Luhanjo: Ni nini kazi yake? Mbona hastaafu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Nov 26, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana JF,

  Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo alifikisha umri wa kustaafu tangu mwishoni mwa awamu ya kwanza (2005-2010) ya urais wa JK.

  Kama hivyo ndivyo, mbona hadi sasa bado anaendelea na kazi? Au Rais ana mamlaka ya kikatiba ya kuamua KMK wake aendelee na kazi hata kama amefikisha umri wa kustaafu ilimradi tu anamwona anafaa? Tafadhali wana JF wenye ujuzi wa haya masuala ya utumishi wa umma wanifahamishe.

  Kuna hoja tumewahi kumjadili ndani ya JF kwa kirefu HAPA
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nadhani cheo chake ni kisiasa/ kuteuliwa na si kiserikali so anaweza kundelea hadi miaka hata mia.
   
 3. r

  rmb JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau mwenye maelezo mazuri kuhusu hii kitu hebu atusaidie kudadavua vizuri, maana huyu mzee amekwamisha mambo mengi sana likiwepo suala la ukokotoaji wa mafao ya uzeeni wa watumishi wanaochangia kupitia PPF!

  Najua ndani JF hakuna lisilo na jibu
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Luhanjo nae ameshafikaaa muda atoke....maana amechafuka mara kadhaa tangu akiwa Maliasili......anasubiri nini???aweke mwanamke au kijana......si ndio sera??
   
 5. The Good

  The Good Senior Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapana makatibu wakuu siyo wanasiasa ni watumishi wa serikali. Ila kama mtumishi mwingine wowote anaweza kupewa mkataba baada ya kustaafu.

  Kwa suala la Luhanjo sijui likoje lakini habari zilizozagaa ni kweli alishafikisha umri wa kustaafu ila muda uliobaki kabla uchaguzi ulikuwa mdogo nadhani Mkulu anangoja wakati atakapokuwa anapanga upya makatibu wakuu baada ya kupanga mawaziri wake.

  Anyway is my pure guess lakini ukweli wanao wenyewe.
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) hustaafu kama viongozi wengine, mfano makatibu na manaibu katibu wakuu wa Wizara. KMK hayuko katika kundi la viongozi wa kisiasa ambao hawana suala la kustaafu kama Mawaziri, Wakuu wa Mikoa nk.

  Kweli muda wake wa kustaafu ulifika, lakini akaongezewa muda. Hilo la kuongezewa muda liko Serikalini kama wanaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.
   
 7. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kisheria mtumishi wa umma aliyefikisha umri wa kustaafu anaweza kuendelea kuwa kazini kwa mkataba wa muda maalum. Ila cjui contract yake ni ya muda gani
   
 8. e

  esswaay Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kazi yake ni nini haswa? And please dont give me his job description. Hivi yuko pale alipo anafanya kazi gani haswa?

  Just curious
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Ni nafasi ya kikatiba..........
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  nilidhani na yeye ame pigwa chini au amerest in peace kumbe unauliza kazi yake!! hiyo mbona rahisi tu...mpika majungu!
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  mkwere aliyempa mkataba baada ya kufikia umri wa kustaafu anajua kazi anayofanya!!
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hapana Mkuu - Unaweza kuweka Ibara ya ngapi ya Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania inasema uwepo wa Katibu Mkuu Kiongozi?
   
 13. e

  esswaay Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona huyu ni un tachable
   
 14. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yupo kwenye kamati ya fitna! msafishaji mkuu wa madudu ya kikwete!
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wakuu huyu mzee luhanjo ni mtu makini sana na baadhi ya watu wanadiriki kusema kwamba kikwete alicheza turufu nzuri kumteua na huenda hata mazuri machache (yapo kweli???) yanayoonwa na wananchi, yametokana na jitihada zake. vinginevyo, serikali ya mkwere ingeyumba.
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Aiseee
   
 17. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama hujui anachofanya Mzee huyu pale Ikulu bora ukae kimya maana kwa wanaojua mfumo wa utawala wanajua kwamba yeye ndiye mkuu wa utumishi serikalini. Sioni tatizo lolote kuhusu utendaji wake. Ni mchapakazi na ni muadilifu.
   
 18. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Head of the Civil Service, Secretary to the Cabinet, One of the Chief Advisers of the President.. He is the non political head of the government... and along with the Speaker, President, Vice president, CJ... AG.. yuko kwenye list ya ofisi zilizotajwa na kutambuliwa kikatiba..
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Katiba - Ibara ya Ngapi?
   
 20. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hilo la uadilifu unauhakika nalo? Au ndo mambo ya ndugu, unamtetea tu kwa sababu ni ndugu.....huyu mzee ni corrupt kama wengine. Nina ushahidi huo.
   
Loading...