Tuongee asubuhi na star tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuongee asubuhi na star tv

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanakili90, Dec 24, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tunaomba mtujibu maswali yatakayouliza hapa na wanajamvi.

  Maswali.

  1. Pamoja na baadhi ya wanahabari kuwa na mapungufu,je hii tabia ya wanahabari huru kukamatwa kwa uchochezi ni jambo la kufungiwa macho na vyombo husika?

  2. Je wanaoelimisha wananchi,na kuishia kupewa kesi za uchochezi,serikal wangependa waandike nini ili wasilete uchochezi?
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kwa hali ya nchi ilivyo inaonekana dhahiri wanahabari wamekuwa watumwa kwa wanasiasa.je wanazungumziaje ili?
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,365
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  najaaaaa!
   
 4. e

  emmanuel christopher Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  km waja we njoo ucogope.
   
Loading...