Hamad Rashid kuwa katibu mkuu kiongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashid kuwa katibu mkuu kiongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Dec 30, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna tetesi za kuchaguliwa kwa Hamadi Rashidi kuwa katibu mkuu kiongozi wa serikali ya Tanzania kushika nafasi itayoachwa na LUHANJO.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,805
  Likes Received: 1,586
  Trophy Points: 280
  Yupi huyo? Huyu aliyechafua hali ya hewa huko CUF?
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Hivi na wewe unajua sifa za katibu Mkuu au unaandika tu?
   
 4. G

  Galinsanga Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa nini usilale tu ndugu yangu, better ukaota ndoto kuliko poteza mda wako hivi!
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mwaache awe CUF na CCM ndio walewale
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Kama naota vile.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK sio unaongea tu kisa ni tetesi lazma ujue sifa za hadi mtu kua CS ni zipi,hebu kajipange upya
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,805
  Likes Received: 1,586
  Trophy Points: 280
  Mkuu sifa za mtu kuwa CS ni zipi?
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Kwani Luhanjo kaondoka Ikulu? Kama kaondoka lini; kwani juzi tu alikuwepo wakati wanaapishwa mabalozi wapya!!
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  kwani zina tofauti na za aliyestaafu-Luhanjo?
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  jamani kwa utawala wa sasa wa tanzania, hakuna anayeweza kujua kesho nani atakuwa nani. na ndiyo maana jamaa kaleta huu uzi. Nani alijua kuwa wezi wa EPA wangeweza kusamehewa lakini vibaka wanafungwa. Inawezekana ikawa sio kweli lakini kwa utawala wa nchi hiii, unaweza kesho ukasikia Jairo kawa Katibu Mkuu Kiongozi......ndiyo nani anabisha?
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Aaah ...!!!! Kumbe tetesi zenyewe ni za "kuchaguliwa" miye nilifikiri "kuteuliwa."
  Vipi hujapata tetesi huo "Uchaguzi" utafanyika lini?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...