Tujadili mustakabali wa taifa letu kwa pamoja kwani wote tuna haki miliki

fanuel sindika

New Member
Dec 30, 2011
1
0
Habari zenu wana safu,hongereni kwa kuendelea kutafuta njia ya kulikomboa taifa la tanzania........mimi ni mwanasafu mpya,nawaombeni mnikaribishe na mnipokee..........nimekuwa nikisoma maoni ya wanasafu mbalimbali bila kuchangia.........naona nianze sasa....... Naomba nianze kwa kuchangia kwamba,sisi kama watanzania tunao wajibu mkubwa sana wa kutizama,kujadili na kutathmini ikiwa mwelekeo wa taifa letu uko sawa.......kila mtu kwa nafasi yake aseme na tupate mwafaka wa kitaifa..tukiwaachia watu fulani na kuwajadili sana watajiona kama ndo wenye akili sana na wenye haki na nchi hii,na hatuwezi kufanya lolote bila wao...vyama siasa viwepo,lakina lazima viwaheshimu na kuwaogopa watanzania...la sivyo tutaendelea kubadilishiwa mada kila mwezi na kila mwaka,matatizo kibao yasiyokwisha,na rasilimali zinakwisha sisi tunajadili matukio na majina ya watu....wananchi tuwe wakali sasa,tuseme hapana penye upotoshaji.....PLEASE STOP COMPLAIN...LETS START TO FIGHT FOR OUR COUNTRY.....wengine wana pa kwenda(Dr Daudi Balari alizikwa marekani,wewe je?)tuilinde nchi yetu dhidi ya wezi weusi na weupe,la sivyo tutabaki bila kitu...wengine watakwenda visiwa vya New Jersey walikotunza pesa walizotuibia sisi....itakuwa ni Tanzania ya kulia na kusaga meno kama tusipoilinda na kuipigania sasa.............TAFAKARI
 
Back
Top Bottom