Mgombea Jimbo la Zitto amshinda Maranda CCM Kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea Jimbo la Zitto amshinda Maranda CCM Kigoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tina, Dec 30, 2011.

 1. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  GENGE la mafisadi katika CCM mkoani Kigoma limepata pigo baada ya mfanyabiashara waliyemuandaa kugombea kuziba nafasi iliyoachwa wazi na yule mtuhumiwa wa EPA, Rajabu Maranda, kushindwa uchaguzi.

  Wajumbe wa NEC CCM katika hali inayotafsirika wamechoshwa na genge la ufisadi walifanya uchaguzi wa Katibu wa Uchumi wa Mkoa iliyokuwa chini ya Maranda na kumtema Yahaya Liheye, mmiliki wa vituo kadhaa vya mafuta Kigoma.

  Liheye alikuwa chaguo la Maranda na genge lote la kifisadi la kina Rostam, aliyembwaga ni masikini mmoja lakini msomi na kijana anaitwa Nicholaus Zacharia.

  Kwa wasiomfahamu Zakaria alitajwa kuwa tishio dhidi ya Zitto Kabwe kwenye kura za ubunge kama angepitishwa na chama chake ambako alishindwa kwa mizengwe.

  Kura zilizopingwa zilikua 28 Matokeo Mr Chalukura 0, Liheye _13 na Nicholaus Zacharia_15.
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  magamba wote ni mafisadi, hamna mwenye afadhali
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Well said mkuu!
  Wanapishana kwa rangi na makabila, lakini wote dugu moja!
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  toa upupu hapa
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Zacharia tishio kwa Zitto!!!:gossip:
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni wezi kwa wezi waende zao huko.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa mbali sana! kumbe mambo ya ufisadi!
   
 8. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ccm wote wezi
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  kama ni hawa mi napita tu mida mingine. chaooooooh!
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ndiyo mkuu!siasa inabadilika kila siku,akuna cha ajabu kwenye siasa!
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Is it!generalization some times does not make sense at all!
   
 12. G

  Galinsanga Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  teh teh teh na Chalukura tena naye! ama kweli ccm imekosa viongozi. wengine jamani mwendeleage na uchinga wenu th lazima
  uongozi
   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280  mkuu kwenye kijani hapo, huyo jamaa mbona kashinda kwa kura mbili tu? uhatari wake uko wapi?


   
Loading...