Uchaguzi CCM 2012..."makada mbona hamtangazi nia?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi CCM 2012..."makada mbona hamtangazi nia?"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabung'ori, Dec 31, 2011.

 1. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...khery ya mwaka mpya wandugu wote wa JF pamoja na wageni wanaotembelea humu.Ni muda sasa ndani ya Chama cha mapinduzi(CCM) kumekuwa na harakati na kupigana vikumbo ktk kujiweka sawa kunyakua tiketi ya kuwania uraisi 2015 kupitia chama hiki.Mengi tumeya yakisiki kwenye vyombo vya habari,tumeyasoma,tunayaona na tunaendelea+tutaendelea kuhabarishwa kadri mchuano huu mkali utakavyo endelea mpaka mwisho wake.Kabla ya kufika huko 2015 kumtafuta atakaye simishwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM,mwaka kesho 2012 kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa hiki chama.Hapa ndipo hoja yangu iliposimamia,mimi napata nnatafasiri tofauti kido na walio tanguli kuwajadili hao watu,wengi wamesema wana uchu wa madaraka lakini mimi nadhani uenda wamegundua mapungufu mkubwa ktk uogozi wasasa na wanataka kufanya masahihisho haraka kwan wanaona 2015 ni mbali sana.Kama waona mambo hayaendi na wao wanaouwezo wa kuyaweka sawa,kwa nini wasitangaze nia ya kugombe ktk huo uchaguzi wa chama ili waweke mambo sawa kabla ya uchangu wa 2015. Inakuaje hao makada wanaopigana vikumbo kuwania nafasi moja(uraisi 2015) tena muda wake bado,ni-kwa nini basi wasigombee kwanza uongozi wa chama ktk uchaguzi wa 2012?,ni kwa nini wanaruka huu uchaguzi wachama wa mwakan(2012) wanakimbili uteuzi wa tiketi ya urais 2015?,...Wito wangu kwa wanachama wa CCM,waambien hao wanaoutaka urais wagombee kwanza ktk uchaguzi huo wa chama mwakan ili muweze kuwapima ktk ungozi wa chama kwa lengo moja tu,na lo ni utakapofika muda wa kutamfuta mgombe wenu wa urisi muwe na chaguo sahihi...
   
Loading...