Katibu mkuu NCCR MAGEUZI Mkoa wa Arusha ajiunga CHADEMA

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Aliyekuwa katibu mkuu ,James ndalivoi Amejiuzulu uanachama wa nccr mageuzi na kujiunga chadema ,kupinga kuvuliwa uanachama mbunge wa kigoma kus,David Kafulila,amesema yeye pamoja na jopo la wanachama 1000 wamejiunga chadema,anaamini ndicho chama kinachotetea maslahi ya kitaifa na wanyonge.source Radio Moshi fm .
 
james ndalivoi amejiuzulu uanachama wa nccr mageuzi na kujiunga chadema ,kupinga kuvuliwa uanachama mbunge wa kigoma kus,david kafulila,amesema yeye pamoja na jopo la wanachama 1000 wamejiunga chadema,anaamini ndicho chama kinachotetea maslahi ya kitaifa na wanyonge.soure radio moshi fm .

hiyo ni habari njema kwa chadema kama ni kweli.
 
hiyo source bora usingeitaja maana kuna watu wakiingia humu utasikia habari yake!! nimewawahi njooni mchonge ngenga sasa!
 
hiyo source bora usingeitaja maana kuna watu wakiingia humu utasikia habari yake!! nimewawahi njooni mchonge ngenga sasa!

ila mkuu ndiyo source yenyewe ,sijapata habari hii popote zaidi ya hapo.Na mmiliki wa wahiyo radio i heard ni Ndesamburo.
 
That is great! Really a thousand new members? I hope if u're in AR when they'll be receiving CDM cards please update this thread with pics. I think cdm is closing this year 2011 with greatness. GOD HELP US(voiceless tzians).
 
Karibu cdm ,kamwe hutajutia uamuzi wako maana cdm ni jeshi kubwa linalokuwa kila siku na kuaminiwa na watz,kumbukeni mmekuja kazini sisi huku hakuna kulemba ni mapambano mwanzo mwisho mpaka ukombozi wa nchi utakapopatikana.
 
safi sana AMAKWELI MMECHAGUA CHAMA SAHIHI na huo ndio mwanzo wa mwisho wa MBATIA NA NCCR MAGEUZI aka CCM C
 
Aliyekuwa katibu mkuu ,James ndalivoi Amejiuzulu uanachama wa nccr mageuzi na kujiunga chadema ,kupinga kuvuliwa uanachama mbunge wa kigoma kus,David Kafulila,amesema yeye pamoja na jopo la wanachama 1000 wamejiunga chadema,anaamini ndicho chama kinachotetea maslahi ya kitaifa na wanyonge.source Radio Moshi fm .
Nampongeza ndugu Ndalivoi kwa uamuzi wake lakini wasiwasi wangu ni sababu aliyoitoa inamaana NCCR wakibadili maamuzi ya kumfukuza Kafulila atarudi na wanachama wake?, but nevertheless karibu, je vous en prie! .
 
Hawa wanaohama vyama kwa mbwembwe, huondoka kwa aibu. Tusishangilie kama mazuzu, hawa jamaa wanataka vyeo na posho. Wakae wakijua huku CDM ni kazi tu hakuna blah blah. Watakuja wengi, tuwapokee kwa jicho la utafiti!
 
karibu sana bw, Ndalivoi,umechukua uamuzi sahihi.njoo cdm huku ni kufa na kupona.kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
 
Aliyekuwa katibu mkuu ,James ndalivoi Amejiuzulu uanachama wa nccr mageuzi na kujiunga chadema ,kupinga kuvuliwa uanachama mbunge wa kigoma kus,David Kafulila,amesema yeye pamoja na jopo la wanachama 1000 wamejiunga chadema,anaamini ndicho chama kinachotetea maslahi ya kitaifa na wanyonge.source Radio Moshi fm .
Habari nzuri hii!lakini hiki chanzo duh!!hebu ngoja kwanza niangalie nje. Hivi sa hivi ni mchana au usiku?
 
Kama hiyo habari ni ya uhakika basi itakuwa faraja kwa CDM kwani itaongeza nguvu na harakati ya kukomboa Arusha inayoyumba. Sina imani na hako karadio kalikotoa habari
 
Back
Top Bottom