Wabunge viti maalum CHADEMA wamejitofatisha vipi na wale wa CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge viti maalum CHADEMA wamejitofatisha vipi na wale wa CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Dec 30, 2011.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Je hawa wabunge wame deliver kitu gani kwa wananchi mpaka sasa??
   
 2. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  hebu tueleze kazi za wabunge wa viti maalum kazi zao ni nini na wanawakilisha nini, baada ya hapo tutakuambia wamedeliver kitu gani kwa wananchi.
   
 3. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kama huna cha kuweka hapa si bora usome vya wenzako tu?
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wamemshawishi bi kiroboto apandishe ujira wa mwia.
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wemefanya mambo kadhaa moja kutunga/kupitisha miswada mbalimbali ikiwemo ya kuruhusu kununuliwa kwa mitambo chakavu, muswada wa sheria ya marekebisho ya katiba kwani bila uwepo wao ile idadi inayotakiwa ili muswada kupita isingetimia. Pia kuchangia hoja mbalimbali kwenye budget hii ni upande mmoja wa bungeni. Kwa upande wa majimboni wanaact kama wabunge mbadala hapa kazi kubwa imefanyika Regia Kilombero, Rose Kamili Hanang, Chiku Abwao Iringa vijjn, nk kazi zao majimboni zinawatisha ccm utalijua hilo kupitia taarifa ya Jmakamba kwenye nec yao. Yapo mengi.
   
Loading...