Balozi Ombeni Sefue kumrithi Luhanjo

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja na kygubijwa na lawama nyingi Bw. Luhanjo a.k.a "Chifu". Hizo ndizo tetesi tulizozisikia leo.
 
Hakuna kisichowezekana katika awamu hii. MM tusaidie profile ya huyu Mhe. Balozi.
 
Kabla ya sakata la Jairo lililolipuka mwaka huu n wazi jairo alikuwa arudishwe Ikulu. Sasa jina hili lnatajwa kama n salama. Ni mtu wa karibu "sana" na Kikwete. Msisitizo uko kwenye neno "sana".
 
@Mwanakijiji

mtu huyo uliyemtaja kweli watu wanasema yu karibu na kikwete lakini hatakuwa kwasababu ya cheo kidogo alichowahi kuwa nacho ndani ya taasis ya invisible....toka taifa lianze basi wote waliowai kuchaguliwa waliwai kuwa maafisa wakubwa ndani ya taasisi hiyo
 
Hivi hii nchi viongozi ni hawa tu hakuna wengine? Kwa nini watu wanaenda shule kama kazi zenyewe wanashikilia watu wale wale tangu Tanzania oops sorry Tanganyika inapata uhuru!! Wazee kaeni makwenu mle pensheni waachieni watu wengine mimi nakasirika upuuzi huu.
 
@Mwanakijiji

mtu huyo uliyemtaja kweli watu wanasema yu karibu na kikwete lakini hatakuwa kwasababu ya cheo kidogo alichowahi kuwa nacho ndani ya taasis ya invisible....toka taifa lianze basi wote waliowai kuchaguliwa waliwai kuwa maafisa wakubwa ndani ya taasisi hiyo
mkuu una maana gani?
 
mkuu una maana gani?
Kama pinda asingekuwa waziri mkuu basi nafasi hii ingekuwa wazi kwake kwani nayeye ni miongoni mwa wanachama wa taasisi ya invisible(system) serikalini.. hiki cheo wamekishika na kukifanya ni mali ya wakuu wa taasisi hiyo
 
Mkuu kuwa mtaasisi ni kigezo pekee? maana dunia imebadilika sana hata katika mbinu za taasisi hiyo, ukumbuke wakati huu wa Digitali kumbe kuweka hao wa zamani simply ni wanataasisi bila nyongeza itatuletea ufanisi mdogo na hata kumpotosha Mheshimiwa katika mambo mengi kama tulivyoshuhudia nyakati hizi.
 
Kabla ya sakata la Jairo lililolipuka mwaka huu n wazi jairo alikuwa arudishwe Ikulu. Sasa jina hili lnatajwa kama n salama. Ni mtu wa karibu "sana" na Kikwete. Msisitizo uko kwenye neno "sana".

Nakubaliana na wewe hapo kwenye "sana". Huyo atakuwa anamtoa kwenye rail Bw. George Yambesi-Katibu Mkuu (Utumishi) na chaguo la Bw. Luhanjo pale kwenye "U-CHIFU."
 
​Mkuu, hizi siredi za mafumbo mafumbo nazo ni shida tu. Sijui watu wanadhani sote tuko kwenye system kama wao?!

hahahahaha lol umenichekesha.

Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja na kygubijwa na lawama nyingi Bw. Luhanjo a.k.a "Chifu". Hizo ndizo tetesi tulizozisikia leo.

Mwanakijiji samahani

Hivi kazi na majukuu ya katibu Mu kingozi nini. I mean kunaweza kuwa na upwayajai wa utendaji cheo kama hicho kikikaa wazi mwaka mzima ?
 
Wengne mckurupuke ucngzin na kuleta uozo humu. Sasa Asha Rose anarudi bongo june 2010 maana yake nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom