Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, amewataka viongozi wa dini nchini kuacha kuilaumu serikali kuhusu ufisadi ambao unafanywa na viongozi, badala yake waiombee serikali isonge mbele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemuona Sumaye akiongea katika kipindi cha dakika 45. Anapinga ongezeko la posho za wabunge. Hili nimeona ameongea la msingi, lakini alipoongelea kuhusu shamba analomiliki KIbaigwa, lina ukubwa...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Na Samwel Mwanga, Shinyanga MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA), amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimejaa viongozi ‘wachumia tumbo' ambao hawana muda tena...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
2nd January 12 Askofu: Viongozi wa dini acheni matanuzi Waandishi Wetu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dk. Owdenberg Mdegella, ameonya kuhusu hatari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Published On: Mon, Jan 2nd, 2012 Politics & Wildlife | Published On: Mon, Jan 2nd, 2012 Conservationists keen to find out more about the allegations made last year, that a Qatari air force...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Toka vyama vingi viingie nchini Tanzania, nimeshuhudia watumishi wa serikari wakiendelea kuwa viongozi wa CCM kwa ngazi za Mwenyekiti wa CCm Wilaya, kata, Tawi, umoja wa vijana nk. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Hamad Rashid: Nitapambana na Seif hadi kieleweke Joseph Zablon MBUNGE wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed amesema anasubiri kwa hamu barua ya kuitwa na Kamati ya Maadili ya chama hicho...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wazanzibar ni Kama Popo si ndege si Wanyama 1 Serikali Tatu Haili suala alilizungumzia Lissu (Mtanganyika) lakini Chama Cha Jussa (CUF) Kwa Kushirikiana na Chama cha Sitta(CCM) wakamsulubisha...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Vision na weledi wa Mwalimu ulituepusha na hili janga! Tujadili
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu, Katika miaka ya hivi karibuni kumezuka malumbano ya hapa na pale ya baadhi ya wananchi wa pande mbili za muungano kulalamikia muungano. Baadhi yao wamefikia hatua ya kuona ni bora muungano...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kukabidhi usimamizi wa masuala muhimu ya umma kwa watu waliozeeka, waliochoka na, au wanaokabiliwa na shutuma, tuhuma na lawama za kushindwa kuwajibika huko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa. Kipi kilipelekea Dr Slaa akaihama CCM 1995
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mining companies in Tanzania yet to pay raised royalty fees By JOSEPH MWAMUNYANGE, Special Correspondent THE EAST AFRICAN Posted Sunday, January 1 2012 at 15:18 Tanzanians...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kuitaka Serikali ya Israel kuwaomba radhi Watanzania kutokana na kauli ya...
8 Reactions
219 Replies
17K Views
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, amedaiwa kuwatelekeza wananchama wa chama hicho ambao waliathirika katika maandamano yaliyotokea mwaka 2001 kutokana na kumuunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya makatibu wakuu wote ikulu waliopita je Luhanjo legacy yake itakuwa ni ipi kwa mtazamao wako?
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Rais wa nne wa nchi yetu Jakaya M. Kikwete,aliwahi kunukuliwa akisema hajui kwa nini nchi yake ya Tanzania ni maskini!
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Na Gadi Solomon NDUGU msomaji yatupasa kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kile kidogo ama kikubwa alilochotujalia katika mwaka mzima 2011. Pia, tuwaombee wenzetu waliofikwa na maafa ya mafuriko...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…