Tujikumbushe: Kwanini Dr Slaa aliihama CCM mwaka 1995?

Alichujwa kwenye kura za maoni akakasirika! Ndio akaamia Magwanda
 
Wakuu naomba kujuzwa. Kipi kilipelekea Dr Slaa akaihama CCM 1995

Hata mimi sifahamu sababu, au aliufuata usemi wa Nyerere kwamba kwa Tanzania chama Cha upinzani cha Ukweli ni CHADEMA tuu na kwasababu aliona upupu wa CCM akaamua kwenda chama makini. najaribu kubreinstomu tu
 
Tumuenzi baba wa taifa alikuwa na maono ya mbali kweli.
 
Back
Top Bottom