Sumaye anapinga ongezeko la posho za wabunge...

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Nimemuona Sumaye akiongea katika kipindi cha dakika 45. Anapinga ongezeko la posho za wabunge. Hili nimeona ameongea la msingi, lakini alipoongelea kuhusu shamba analomiliki KIbaigwa, lina ukubwa wa hekta 300, anadai kuwa halimtoshi kulingana na idadi ya mifugo aliyonayo. Ina maana kama anautaka urais (japo hajasema) anaweza kuongeza hekta zingine mia tatu ili mifugo yake iweze kutosha. Tunaelekea wapi?
 
Back
Top Bottom