Kwanini watumishi wa serikari hawaruhusiwi kuwa Viongozi vyama vya Upinzani

Mkondakaiye

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
838
174
Toka vyama vingi viingie nchini Tanzania, nimeshuhudia watumishi wa serikari wakiendelea kuwa viongozi wa CCM kwa ngazi za Mwenyekiti wa CCm Wilaya, kata, Tawi, umoja wa vijana nk. Lakini watumishi hao hao wa serikari wakiwa viongozi wa kwa upande wa vyama vya upinzani wanachukuliwaa hatua kwa kusimamishwa kazi. Hii inakuwaje? Naomba kueleweshwa.
 
Back
Top Bottom