Ndani ya NEC 1995: Busara za Nyerere zilituepusha na janga JK

Ebu fikiria wakati huo nchi ilipokuwa hoi bin taaban baada ya kugaragazwa na uongozi wa mzee ruksa na mbaya zaidi 'hili janga' lilikuwa halina uzoefu wowote wa maana. Je, Mwl angeacha ushabiki wa taarabu utamalaki nchi si inge-collapse! Mwalimu alikuwa nabii.
 
Back
Top Bottom