Naanza moja kwa moja
Kwanza
Mrisho Kikwete (kama Mwenyekiti wa CCM taifa) ameshindwa uongozi
jumla! Ameshindwa kukisimamia chama chake (CCM) katika kurudi kwenye asili
baada ya chama hicho...
If anybody on the this forum know what JK vision for Tanzania I would like to know as for know anything goes, no vision, no direction hence anything to him is a goood strategy!
Serikali imeshindwa Kwa miezi miwili kuwalipa intern doctors MNH Hali iliyosababisha wao kuamua kugoma rasmi kuanzia Leo hadi watakapopewa hela yao.
Hii imetokana na wengine kushindwa kupata...
Hizi ni habari za masikitiko makubwa ambazo zinaonyesha nguvu ya mafisadi inavyofanya kazi hapa Tanzania, tathimini inaonyesha rostam alitakiwa kulipa billion 1 kama kodi lakini kilichotokea ni...
Heri ya Mwaka Mpya wana wa CCM, twashukuru mungu tumevuka mwaka baada ya kushiriki kikamilifu miaka 50 ya UHURU.
Vijana kwa wazee, tuwe wawazi na kuthubutu kukitetea na kukiunga mkono chama chenye...
Tuesday, 03 January 2012 20:13
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
APONDA UTAMADUNI WA POSHO KWA WABUNGE, WATUMISHI, ASEMA FALSAFA YA KUJIVUA GAMBA NI KITANZI KWA CCM 2015
Waandishi Wetu...
Importy Duty 25%
VAT 18%
PAYE 15% (Average kati ya mishaara kuanzia 360,000 kwenda juu)
FUEL LEVY 12% (200Tsh kwa kila Rita)
Jumla 70%
Kwa kuwa huduma za jamii...
Katika gazeti la MwanaHalisi la jumatano Desemba 21 imeripotiwa kwamba serikali imebadilisha maamuzi ya bunge lililoidhinisha mapato na matumizi yake juni mwaka huu kwa kuagiza ajira zote...
Heri ya mwk mpya wanajf na wana chdm wnzng!ni matumumain yng kw mmsheherekea vym!
Najua kuna mambo mengi ambay bado chama chetu kinahtj kufanya ili kujiimarisha zaidi kuelekea chaguzi...
Ninajaribu kufikiria maamuzi magumu yanapochukuliwa na madhara yake kwa hasa msingi uliosimama.
CUF wanakutana Zanzibar na hoja kubwa inaongelea HR.Jana nimepita maeneo ya Darajani karibu na...
Kwanza CCM hawa wananichanganya. Kuna muda mwingine wanakaa wanafanya vikao vyao vya siri lakini masaa machache baadae kila kitu kinajulikana. Kila kiongozi anaropoka ki vyake wakati ilikuwa ni...
Kwa mfano suala la ukaguzi wa leseni. Hivi ilihitajika hata elimu ya form 4 kuepusha kuwakwamisha abiria ambao hawahusiki na leseni? Imeshindikana nini kunote madereva wasio na leseni mpya...
Katika hali ya kustaajabisha nimesikia leo kutoka magazetini Mh Jk amewaagiza TAWIRI kufanya uchunguzi kuhusu utowekaji huo; wakati nijuavyo mimi yeye Rais ni mhusika mkuu. Ukiangalia juzijuzi tu...
Heri ya mwaka mpya mh mkuu wa kaya,napenda kukurudisha kwenye kwa kuwa umekuwa ukihama kwenye mstar mpaka wakati mwingine tunajiuliza kama kweli we ndo rais wa nchi hii,acha umwinyi wa kutoa...
David Kafulila aliyeenguliwa ubunge na chama chake NCCR alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi
Wakati huko CUF - DAR
kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama...
Vifo vimezidi kuwamaliza madiwani wa ccm Dodoma mjini,baada ya kufariki kwa madiwani kata ya kikuyu kusini na changombe sasa amefuatia diwani wa kata ya Msalato.naomba kutoa taarifa.source nipo...
Na Mwandishi wetu - Mwanahalisi
MWAKA 2012 tuliouanza leo unabashiriwa kuwa mgumu zaidi katika medani ya kisiasa, hasa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili limedokezwa...
Jana niliwona ktk TV Spika Anne Makinda akiwa jimboni kwake akihutubia wananchi kwa kuwaambia kwamba waache mambo ya kushabikia siasa ama sivyo watakua masikini. Alisema siasa zinapaswa kufanywa...
Wanabodi.
Ile kesi ya kupinga kufukuzwa uanachama waliokuwa madiwani wa Chadema katika jiji la Arusha inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Janaury 19 mwaka huu mbele ya Jaji Fatuma Massengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.