Legacy ya Luhanjo Ikulu

amefanya makubwa na atakumbukwa kwa mengi ktk utumishi wake wote wa umma...
 
Kati ya makatibu wakuu wote ikulu waliopita

je Luhanjo legacy yake itakuwa ni ipi kwa mtazamao wako?

banjako.jpg

NEHEMIA MCHECHU
Hakuomba kazi NHC
Haku qualify kwa ajili ya hiyo kazi
Lakini Philemon Luhanjo aliamua kumpa hiyo kazi pasipo kufuata taratibu kwa sababu ni mtu wa kwao

figo-1.jpg

BLANDINA NYONI

Ka taka awe DG pale TRA
Ka taka apewe Ugavana BOT
Ka taka awe DG pale PSPF
Lakini mzee Luhanjo kashindwa kumpa post aliyptaka ili awe DG NSSF sasa mama yuko under investigation na PCCB...kuhusiana na tuhuma za rushwa

Kuna watu hawakupewa kamisheni zao wameenda kumpakazia kila sehem

wengine baadae

tunaendelea na legacy ya Luhanjo Ikulu
 
Kati ya makatibu wakuu wote ikulu waliopita

je Luhanjo legacy yake itakuwa ni ipi kwa mtazamao wako?

Unaulizia Legacy ya Luhanjo wakati Legacy ya Kikwete ipo hoi, Luhanjo hatokuwa na Legacy yoyote kama Rais wetu aliyeteuliwa na NEC Mh. Kikwete
 
banjako.jpg

NEHEMIA MCHECHU
Hakuomba kazi NHC
Haku qualify kwa ajili ya hiyo kazi
Lakini Philemon Luhanjo aliamua kumpa hiyo kazi pasipo kufuata taratibu kwa sababu ni mtu wa kwao

figo-1.jpg

BLANDINA NYONI

Ka taka awe DG pale TRA
Ka taka apewe Ugavana BOT
Ka taka awe DG pale PSPF
Lakini mzee Luhanjo kashindwa kumpa post aliyptaka ili awe DG NSSF sasa mama yuko under investigation na PCCB...kuhusiana na tuhuma za rushwa

Kuna watu hawakupewa kamisheni zao wameenda kumpakazia kila sehem

wengine baadae

tunaendelea na legacy ya Luhanjo Ikulu

Mwaga Wali mkuu, huku Hutaki Unaacha ana mwaga Mboga ya Samaki. mimi ni wa pwani napenda wali samahani wabara wapenda ugali

legacy ndiyo hiyo katibu kuu kiongozi uanzia sasa ni nafasi ya mabalozi. Legacy yake ni wizara ya mambo ya nje dio ............. Sasa usishagae hata ma-secetrary wa huko ubalozini wakawa ndio future RC and DC Tanzania

Ajira kwa vijana
 
Legacy ya Luhanjo ni kuhakikisha Wanyama wanatorosha usiku wa manane kwa maelekezo kwa ktumia ndege ya jeshi ya nchi nyingine, Ameacha uvundo wa kutosha tu tokea akiwa Wizara ya mambo ya nje ! Usalama wa taifa wakafyaata maana yuko jikoni kwa Mzee !
 
Ameacha vijana kila kona ambao atakuwa anawatumia kuendelea kuchuma!
 
Tinker nadhani wewe hujui jinsi Luhanjo alivyokuwa instrumental kuhakikisha kuwa mama Nyoni hazipati hizo nafasi ulizoziorodhesha!!Ukweli ndio huo ,kama Luhanjo angetaka huyo mama apate hizo nafasi ambazo zote ana qualification nazo angezipata lakini kwa sababu ya principles za huyu mama they never saw eye to eye na mstaafu Luhanjo!! Nchi hii kwa mtu yeyote muadilifu ataonekana ni mbaya kwasababu anawazibia watu ulaji wao hivyo majungu yanakuwa mengi na ndiyo yanayompata huyu mama ;lakini mwisho wa siku ukweli ukijulikana ,she will be exonerated na wabaya wake watapata adhabu yao hapa hapa duniani na wala sio ahela!! GT,Dau na genge lenu mpo hapo!!
 
Ni kweli Mkuu, Luhanjo anamchukia Mama Nyoni kupita maelezo, amembania sana, lakini kwa kuwa Mama Nyoni ni mwanamke wa chuma aliyashinda yote na kwa kuwa ni mwananamama mwenye vigezo na mwenye weledi uliotukuka. Lakini ukweli utajulikana tu.
 
banjako.jpg

NEHEMIA MCHECHU
Hakuomba kazi NHC
Haku qualify kwa ajili ya hiyo kazi
Lakini Philemon Luhanjo aliamua kumpa hiyo kazi pasipo kufuata taratibu kwa sababu ni mtu wa kwao

figo-1.jpg

BLANDINA NYONI

Ka taka awe DG pale TRA
Ka taka apewe Ugavana BOT
Ka taka awe DG pale PSPF
Lakini mzee Luhanjo kashindwa kumpa post aliyptaka ili awe DG NSSF sasa mama yuko under investigation na PCCB...kuhusiana na tuhuma za rushwa

Kuna watu hawakupewa kamisheni zao wameenda kumpakazia kila sehem

wengine baadae

tunaendelea na legacy ya Luhanjo Ikulu

Umesahau hapo juu mkubwa huyo mama nyoni alitaka sana u-CAG pia kabla utouh hajateuliwa,alifyt kwa nguvu zote ikashindikana!
 
Umesahau hapo juu mkubwa huyo mama nyoni alitaka sana u-CAG pia kabla utouh hajateuliwa,alifyt kwa nguvu zote ikashindikana![/QU

Kitu kimoja ninakuhakikishia ni kuwa kama Blandina Nyoni angekuwa ndio CAG madudu yote ya aibu anayoyafanya Utouh ya kuiaibisha profession yake yasingetokea na uvundo mwingi ungewekwa hadharani. Wadanganyika ni wepesi wa kusahau; Blandina Nyoni alipokuwa Accountant General ndio mahesabu yote ya serikali yaliwekwa sawa na malalmiko ya mishahara serikailni ikawa historia!! Ni mweledi , mzalendo na muadilifu, you cannot take that from her!!
 
Back
Top Bottom