Kwa Watumishi wa Serikali na Wanasiasa wote Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Watumishi wa Serikali na Wanasiasa wote Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by We know next, Jan 2, 2012.

 1. W

  We know next JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana Jamvi,

  Kwa takribani ni miaka 20 sasa tangu baadhi ya watumishi Serikalini na Wanasiasa hapa Tanzania, kuamua kutumia nafasi zao Serikalini au nafasi zao Kisiasa kwa manufaa yao binafsi, familia zao na marafiki zao. Napenda kutoa angalizo na tahadhari kwa wahusika wote kuwa, muda si mrefu, atatokea kiongozi mmoja hapa Tanzania na kushika uongozi wa dola ambaye tulio-wengi tutamshangaa kwa matendo yake, na atakachokifanya ni kuwashughurikia wahusika wote ktk makundi hayo kwa uwazi kabisa, bila woga wala msamaha kwa yeyote. Na hapo utakuwa mwanzo wa uwajibikaji sio ktk Serikali na Vyama tu bali katika nchi. Mwenye macho ya kusoma na asome, na mwenye masikio ya kusikia asikie. Tusibiri na Tutakao kuwa wazima kwa kudra za Mwenyezi Mungu tutashuhudia. Ole Wenu!
   
 2. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Aaaah! Unatuletea mambo ya fisadi Lowasa tu wewe! Angekuwa hajipendelei asingetia unyayo ndani ya richmund.
   
Loading...