Dr Nchimbi apeta!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Nchimbi apeta!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng`wanakidiku, Dec 26, 2011.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naona Mh. Dr Emmanuel Nchimbi katoa heri ya mwaka mpya na wadau woote wamempongeza tofauti na viongozi wengine wa CCM ambapo huweza kushushuliwa live, ila kwa huyu mh. watu almost wamemfagilia! Inapendeza!
  Emmanuel John Nchimbi
  Rafiki zangu wa FB
  Rafiki zangu wa FB
  Tunapokaribia mwisho wa mwaka huu wa 2011, naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru kwa dhati kwa kunivumilia kwa kutopatikana kila nilipohitajika ndani ya FB. Naomba mtambue kuwa nawathamini sana. Nawashukuru kwa michango mbalimbali ya mawazo ambayo mmekuwa mkinipa. Lazima nikiri kuwa mmekuwa watu wa msaada mkubwa katika majukumu yangu ya kila siku. Vilevile, nawashukuru kwa salaam za kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu. Nilipata salaam zaidi ya 3000 na naomba nibainishe kuwa deni hili halilipiki lakini tafadhali nimuombe kila mmoja wenu apokee shukurani zangu za dhati kabisa.
  KIPEKEE POKEENI SALAAM ZANGU ZA KHERI YA MWAKA MPYA, MWENYEZI MUNGU AWEKE MKONO WAKE KATIKA KILA JITIHADA MTAKAYOIFANYA KATIKA KUBORESHA MAISHA YENU NA MAENDELEO YA TAIFA LETU.
  Nitaendelea kufanya kazi kwa juhudi ili nisiwaangushe ninyi Rafiki zangu na watanzania wenzetu wote popote walipo.
  Unlike · · 3 hours ago ·
  You, Shy-Rose Bhanji, Regia Estelatus Mtema, Frederick Lyimo and 129 others like this.
  50 of 65
  Stella Chipanha Amen
  3 hours ago · Like


  Elia Malisa Asante kwa ku2kumbuka
  3 hours ago · Like


  Ally Meku Mungu akusimamie ktk kila jambo zuri ambalo unahisi litakuwa linafaida kwa Watanzania! Ili siku moja uje ukumbukwe ktk Utumishi uliotukuka..
  3 hours ago · Like


  Mkulima Wa Kisasa Mhe.tukumbuke tu cc wakulima pia
  3 hours ago · Like


  Frank Nyabundege Tuko pamoja kamanda...
  3 hours ago · Like


  Genchwere J. Ruge Pamoja mkuu
  3 hours ago · Like


  Jacqueline Godfrey ooh!! tunashukuru mweshimiwa,inashangaza bt ninachoweza kusema wewe nimfano wakuigwa.tunakutakia afya njema,mungu akulinde akupe wepesi ktk kila jambo.
  3 hours ago · Like · 1


  Taphawa Abubakary Ngwada thanx! president of 2020, don't worry about that.
  3 hours ago · Like · 1


  Flora Dhobe Amina, mwenyezi MUNGU akuzidishie baraka na upendo, kwakila uliombalo litimie kwa uposi.
  3 hours ago · Like


  Emmanuel Martin Sulle pamoja sana mweshimiwa
  3 hours ago · Like


  Beatrice Nchimbi Pamoja mh.
  3 hours ago · Like


  Frank Richard kila la kheri kiongozi,Mungu akupe afya njema na kila lililo jema katika maisha yako. kwa pamoja tutashinda
  3 hours ago · Like


  Molio Baldwin Asante muheshimiwa...na tuendelee kuijenga nchi.tuko pamoja
  3 hours ago · Like


  Cosmas Haule Hakuna jambo muhimu kama kushukuru! shukrani kwa Mungu wako na kwa wale wote wanaokuombea mema ktk majukumu makubwa uliyonayo!!! maandalizi mema ktk kuupokea kwaka mpya!!!
  3 hours ago · Like · 2


  Frankie G Odomali Pamoja tunaweza!afya njema kwako
  3 hours ago · Like


  Petty Zephrine Mungu akujaalie uendelee kuliendesha jaazi hili la vijana
  3 hours ago · Like


  Paul Dominic Asante mheshimiwa, Mungu akujalie baraka zake upate nguvu zaidi ili uendelee kulitumikia Taifa lako na watu wake.
  2 hours ago · Like


  Eddy Mwinuka Usijali Mheshimiwa najua umetingwa sana.
  2 hours ago · Like


  Isaya James Barikiwa mheshimiwa! Tunashukuru kwa kutambua na kuthamini michango yetu!
  2 hours ago · Like


  Zee Matau Linus Pamoja mh..nawe ubarikiwe
  2 hours ago · Like


  Christina Mokimilya asante mheshimiwa,MUNGU azidi kukupa kibali.
  2 hours ago · Like


  Aidan Ngole karibu.
  2 hours ago · Like


  Zidikheri Shemsanga very well an congrats 4 the doctorate!
  2 hours ago · Like


  Nilsson Mujjuni Kamulali Asante muheshimiwa be blessed
  2 hours ago · Like


  Ailly Mlwafu mkuu nikushukuru sana kwa jinsi ulivyo kiongozi wa kuigwa, kiongozi unayehusika hasa na vijana maana kiukweli sekta yako inahusika na vijana. mimi nitumie nafasi hii kutoa maoni yangu kwako na kwa serikali hasa kuhusu masuala mengi yanayohusu vijana bado hayajapewa kipaumbele kama suala la ajira kwa vijana na tatizo kubwa. ni aibu kwa graduates kuwa vibaka na makahaba eti kwa sababu ya ajira. mweshimiwa naomba kutoa hoja
  2 hours ago · Like · 2


  Irene Masaki Tunashukuru sana mheshimiwa pamoja sana n be blessed bro.
  2 hours ago · Like


  Lulu Kifera Tanx honourable,Mungu akupe afya njema
  2 hours ago · Like


  Egbert William Kiiza Asante kwa salamu zako za kututakia Mwaka Mpya. Nawe pia tunakutakia Mwaka Mpya mwema na wenye mafanikio tele. Mwenyezi Mungu akupe HEKIMA katika kuongoza Wizara yako.
  2 hours ago · Like


  Hendrick Arséñá Franky Safii sana!@Mh.Kazi kwanza taifa lisonge mbele
  2 hours ago · Like


  Tusa Moses Amen, hon. Nchimbi, stay blessed.
  2 hours ago · Like


  George Bitababaje appreciated-mheshimiwa-for-what,u-have-done.mungu-akubariki-mkuu
  2 hours ago · Like


  Baibe Kimmy Amen, heri ya mwaka mpya na kwako pia.
  2 hours ago · Like


  Lucian Ngeze Heri ya 2012 kwako pia mheshimiwa..Uwe mwaka wa kujituma zaidi, na kutimiza yale waTZ kwa ujumla wao wanayotegemea kutoka kwako...
  2 hours ago · Like


  Karliar Mshana Ok, bt mfanye kaz kw manufaa ya taifa na co kw matumbo yenu binafs. Mwaka mpya mwema.
  2 hours ago · Like


  Mujuni Gaulah Kajala na wewe heri ya mwaka mpya mbunge wangu,,
  about an hour ago · Like


  Maurice Nchimbi nashukur lakn kama ni kiongoz wa taifa hil jtahd kuondoa tabak lilpo kat ya walionao na wasionacho her ya mwaka mpya
  about an hour ago · Like


  Maurice Nchimbi nashukur lakn kama ni kiongoz wa taifa hil jtahd kuondoa tabak lilpo kat ya walionacho na wasionacho her ya mwaka mpya
  about an hour ago · Like · 1


  Deo Baraka Mambo Pamoja tutajenga taifa bora! Big up Mh.
  about an hour ago · Like


  Christopher Thomas Mullemwah Don't mention brother we are together for our national and our self.May our almighty God keep on blessing you with your family in the coming new year of 2012.
  about an hour ago · Like · 1


  Amon Mkoga Kwako pia Mhe.
  about an hour ago · Like


  Felix Elliah Staki Kila la kheri Mheshimiwa.
  about an hour ago · Like


  Julius Oba Rugiga Na kwako pia mkuu..
  57 minutes ago · Like


  Wema Hassan Tunashukuru sana mkuu, be blcd ktk majukumu yako ya kila siku.
  38 minutes ago · Like


  Glory Mziray asante, Mwenyeezi Mungu ajibu kila haja ya moyo wako kwa mwaka 2012
  36 minutes ago · Like


  Festo Mombo Tutafurahi zaidi kama Taifa Stars itakuwa mmoja ya timu bora Afrika.Heri ya mwaka mpya mheshimiwa.
  35 minutes ago · Like


  Glady Mlemba Pamoja sana Mkuu. Big up and ol da best in ya plans.
  33 minutes ago · Like


  Aliko James Na kwako pia Kiongozi Mungu akuongeze ktk kazi zako za kila siku, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA
  32 minutes ago · Like


  Berious Nyasebwa nashukuru kamanda heri ya mwaka mpya na kwako pia
  32 minutes ago · Like


  Shy-Rose Bhanji ‎Emmanuel John Nchimbi Asante sana kwa maneno ya shukrani. Hichi ni kipimo cha juu kabisa cha mwanadamu pale ambapo anaonyesha uungwana wake kwa kushukuru. Neno ASANTE ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana. Mungu aendelee kukubariki kwa uungwana uliotuonyesha marafiki zao wa karibu na vile vile wa sura kitabu. Nimalizie tu kwa kusema kwamba, wakati umeteuliwa kuwa Waziri binafsi nilifurahishwa sana na uteuzi huu, kwani umekuwa ni kiongozi ambaye huna makuu na you are just a phone call away. Pia ni rahisi sana kuongea na wewe tofauti na viongozi wengi hata kusalimiana nao unajiuliza mara mbili...NAKUTAKIA KILA LENYE HERI KWA 2012 WEWE PAMOJA NA FAMILIA YAKO. IKIMPENDEZA MOLA WETU TUUONE MWAKA MPYA NA MIAKA ZAIDI NA ZAIDI!
  24 minutes ago · Like


  Hafidh Saleh Suleiman Usijali Mh. tupo pamoja nawe
  20 minutes ago · Like
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mmmmm, naomba kuiona thesis yake ya udoctor####!
   
 3. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi unajua maana ya Thesis? unafahamu vigezo mpaka vya kufikia kupata PhD? kama unajamaa yako muulize au ni pm nikuelekeze! Unavyodhania kama ni rahisi siyo hivyo na usidhani PhD unaweza kupata favor tofauti na za online! Za vyuo huwa mpaka uchakalike. Jamaa anahitaji pongezi tu kwa hilo! Kama unabisha jaribu uregister Mzumbe au UDSM uone moto wake.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hizi pombe za bure kuna siku zitawaune mchana mchana tu!!!!!!!!!!
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nilipoona heading 'nchimbi apeta' nikafikiri ni zile staili za twangapepeta na mambo yetu yale ya kangamoko..bora nilivoingia kuisoma habari,bila ivo ningeconclude juu kwa juu..
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Utawafahamu tu wanaoendekeza twangapepeta. Zipo bendi nyingine pia kama machozi bendi, wapo pia akina Mh. Sugu!!!
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hawezi kukuonesha the guy is a fraud; Ph.D za kuchonga hizi/ jamaa wamemuandikia!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaa hiyo message aliyoandika ni ya kuwaadaa wananchi/friends zake FB,aandike humu JF aone tutavyomshushua,kwanini amemteua Joe Kusaga kua mwenyekiti wa kamati ya kutafuta vazi la taifa? Kwanin asingemteua hata yule jamaa rastaman designer(morinyo kama sijakosea)
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  UDSM sawa,Mzumbe mmmhhh..............
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tupatie hiyo thesis, mbona maelezo marefu hivo?
   
 11. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ahhahahahhaha jamani wewe unaetaka thesis kwani una qualification gani mpaka upewe.....ok nitumie address yako nikutunmie kwa kuwa hata hapa UDSM institute ya dev studies tunayo.tuma na pesa kidogo ya kuphotocopy.ina page mia tatu tu.
   
 12. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unajua nimegundua kuwa hii post imeandikwa na mtu ambaye ana nia mbaya na roho chafu akiwa na matumaini kuwa kwa kuwa hapa ni kijiwe chenye mabingwa wa kashfa na dharau basi wataitandika kwa kashfa na matusi ya rejareja nae atafarijika.Karibuni wenye vipaji vyenu vya matusi as wamesha watrigger hapa.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hatuiti qualifications, tunaita 'credentials', na huyo Nchimbi wenu ni kuruta tu hapa.

  PDF attachment will do.
   
 14. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yes hawezi kuwa kuruta wa **** kama wewe ambaye hata ukijinyea barabarani huwezi futa phd yake.
   
 15. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  So what is your point on this?
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  teh teh teh..naona ushabonyeza tayari panic button..staki kwenda huko maana ntakupa shavu kwene fani yako ya mambo yasiyo na staha..we durufisha tu hiyo thesis nasi nyoyo zetu zitakongeka kuona kazi nzito ya mtaalam wetu Nchimbi. Ni hayo tu muishiwa.
   
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona mnatoana roho ilihali hata Mhe. mwenyewe hafahamu, kwa nini lakini jambo dogo malikuza hadi kufikia kutoboana macho. Hebu tafakari tena na kuona baada ya malumbano hayo mtapata faida gani. Mhe. Nchimbi mwenye katulia ofisini kwake.
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nasikia huyu jamaa(Nchimbi) ni mtu wa 'kupuliza' sana.
   
 19. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Kheri ya mwaka mpya Dr. Nchimbi. Lakini na mimi pia ningependa kupata maelezo kidogo kuhusu mtu ambaye tayari ana PHD (ya darasani) anavyoendelea kusoma PHD ya pili. Tumekuona unahitimu juzi Mzumbe University lakini umekuwa na prefix ya Dr. kwa muda mrefu. Kama hiyo ya mwanzo ilikuwa ni ya heshima (honorary) tupe mwanga kidogo.
   
 20. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni swali zuri sana lakini huyu nchimbi hajawahi kuonekana hapa jf unless kama anatumia majina ya siri.sasa ujumbe huu ataupataje kamanda?
   
Loading...