Mr Magufuli atua Kivukoni, kuzuia nauli mpya?

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,270
Waziri wa ujenzi John Magufuli amekwenda kivukoni kutuliza hali ya hewa baada ya uongozi wa vivuko hivyo kupandisha nauli zaidi ya asilimia miamoja bila sababu za kueleweka!
Nitawajuza habari zaidi baadae!

Updates!

Taarifa iliyotolewa hapa nikuwa Waziri mkuu Mh Pinda ni kuwa amesitisha nauli mpya za vivuko!
Hii ni kwa mujibu wa mr Magufuli PM
 
Kaka hawa jamaa wa vivuko ni kiboko yaani kuanzia tar 1 hadi mtoto mchanga analipa ukiwa hata na kimfuko cha mboga unakilipia huu ni wizi na hata siku moja sijawahi kusikia kwenye bajeti ikisema miongoni mwa vyanzo vyake vya mapato ni vivuko
 
Yaani wakiacha nauli mpya kwenda kigamboni ni anasa kabisa....bajaj 1,300/ baiskeli 1000/ Pick up 2000/ yaani hatari sana
 
Kwani ye si ndio mpanga bei? Labda
unambie anaenda kuhakikisha hilo
tozo linatolewa

Samahani dada, swali lako ni la kipuuzi

TEMESA iko chini yake na kuna jitihada za lazima za yeye kuingilia, kwani jamaa wamepandisha bei ili kufikia lengo la makusanyo badala ya kupunguza kwanza losses na wizi wanaofanya...

KIGAMBONI NEEDS A BRIDGE, NA SIO FAVOR
 
Hapa nahisi kuna unafiki mh dr magufuli anatufanyia!
 
Lol! Hadi kifuko cha rambo kinalipiwa? Tutakoma mwaka huu! Kuna haja ya kufikiria pia luggage allowance kwenye kivuko. Binafsi huwa nawaza kuhusu carrying capacity manake unakuta pembeni kuna lori limesheheni mzigo! Kuna siku tutaishia kusema 'kazi ya mola' kama kawaida yetu!
Kaka hawa jamaa wa vivuko ni kiboko yaani kuanzia tar 1 hadi mtoto mchanga analipa ukiwa hata na kimfuko cha mboga unakilipia huu ni wizi na hata siku moja sijawahi kusikia kwenye bajeti ikisema miongoni mwa vyanzo vyake vya mapato ni vivuko
 
Samahani dada, swali lako ni la kipuuzi

TEMESA iko chini yake na kuna jitihada za lazima za yeye kuingilia, kwani jamaa wamepandisha bei ili kufikia lengo la makusanyo badala ya kupunguza kwanza losses na wizi wanaofanya...

KIGAMBONI NEEDS A BRIDGE, NA SIO FAVOR

hilo swali siyo la kipuuzi kama ulivyogusia,hiyo taasisi si iko chini ya wizara ya magufuli,hivi unadhani uongozi wa taasisi hiyo unaweza kuweka viwango vipya vya nauli vinavyogusa watu wengi bila idhini ya katibu mkuu au waziri wa wizara husika???wee sema anazima moto aliosadia kuuwasha mwenyewe???
 
Viongozi wetu wanapenda kuuzima moto kwa kuukalia!kivuko chenyewe huduma zake haziridhishi madereva wake muda mwingine wanashindana wanaacha abiria wote wanaelekea upande mmoja badala ya kupishana yaani sisi wakazi wa kigamboni kama tunaishi zanzibar unawahi kutoka home ukifika pale ferru unangojea kivuko hadi 35 min huu ni ujinga kabisa
 
Upuuzi uko wapi? Kwani wewe unavyomlalamikia Rais kuhusu mfumuko wa bei kwani yeye ndo anaufumua?

sasa hapa ndo umeongea nini?mbona unajikontradikti mwenyewe? Nahisi wewe ndo mpuuzi

Dr. Magufuli kwa kujua kwamba yeye ndiyo mhusika wa hilo ndo maana kaenda kulitatua. Kwa upande wa kikwete akiwa kama msimamizi mkuu wa maswala ya uchumi wa nchi hatujaona hatua za maana kuchukua zaidi kusingizia uchumi wa dunia. Ameshindwa kuwadhibiti wafanyabiashara, mfn ni aibu bei ya sukari kuwa kubwa mikoa ya viwanda kuliko eneo lingine, kwanin petrol/dizel inakuwa na bei ndogo inakoshukua. Tafakari udhaifu wa kiranja mkuu jk msimamizi mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom