2012 fursa kwa CHADEMA kuzidi kuongezeka

Lilombe

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
242
39
Mwaka huu umeanza vizuri na dalili zaonyesha CCM na CUF vifo vya kisiasa vitazidi kuwaandama. Ni juu ya wapanga mikakati wa CDM kutumia fursa ipasavyo, na kujiwekea mazingira mazuri ya kuchukua serikali za mitaa 2012 ambako ni msingi wa kuchukua dola 2015.
Masuala haya ya msingi yatazidi kuwatenganisha wapiga kura na CCM:
1. Hali ya uchumi kuzidi kudorora na wananchi kukata tamaa
2. Malumbano ya mara kwa mara miongoni wa vigogo wa CCM juu ya kuwania URAIS 2015
3. Suala ya posho kwa wabunge
4. Sisi wakazi wa Kigamboni kukerwa na kauli ya Magufuli juu ya kututaka tujifunze kuogelea.
5. Zoezi la kuhamisha wahanga wa mafuriko litaleta mtafaruku mkubwa na wapiga kura kuzidi kuichukia CCM


Hivyo kuna dalili tosha wapiga kura kuzidi kuichukia CCM na kuchangua chama mbadala. Msingi wa wote ni CDM kutokuwa na migogoro
 
Cdm wakitulia,watakuwa na mtaji mkubwa sana!wanatakiwa waweke mizizi ya uongozi serikali za mitaa ili iweze shinda kirahisi 2015.
 
muda wa chadema kusambaratika sababu kubwa ni hizi;
1.mtafaruku wa kiuongozi kutokana na uchaguzi ujao ndani ya chama baadae mwaka huu.kambi ya mbowe,ya slaa na ya zito zitasigana na watasalitiana sana.
2.undumilakuwili wa wabunge wake katika suala la posho (sitaki nataka)
3.sakata la madiwani arusha litakitesa sana chama mkoani humo wakati wa uchaguzi ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom