Ajali Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr-of-three-Phd, Jan 2, 2012.

 1. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenye Taarifa ya ajali ya gari la Jeshi zanzibar inayosemekana kutokea leo atupa hapa !
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Subir shirika la utangazaj zenj watatangaza
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ndg yangu!

  Utupe hbr na uulize tena! Kwani singeweka kama tetesi?
   
 4. c

  cesc Senior Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimesikia ktk JAHAZI kuwa kuna boti inawaleta huku bara waliojeruriwa...updates zaidi baadea
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Basi la askari limepinduka hukoo znz na wengi wameumia..nimesoma hukoooo fb
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kufanya nini si wanadai wajitenge nasisi!?Wabaki hukohuko.
   
 7. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii nayo siasa? Kalale!
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nao hawa wamezidi kutepeta..usikute wameteguka tu mikobo basi amiiiiii twendee baraaa muhimbiliii atii kwa masipeshalisti
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivyo fikira yako hao ni Wapemba? Ni jamaa zako hao ndio maana wanarudi kwao.
   
 10. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana nawe Wakurya ndio walivyo, lakini mtu akiumia si hurudi kwao?
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  jamani hii ajali imemkuta na kaka yangu aitwaye Steve, yeye ni mwanajeshi wa huku bara (dodoma point) ila walikuwa zenj kwa mafunzo zaidi. Wanajeshi wengi wamejeruhiwa ila wahutihuti wameletwa huku bara na wamelazwa pale Lugalo na yeye akiwamo!
   
Loading...