Huyu bwana katajwa kwenye thread ya kaka yake kulalamika kuhusu viwanja mafia. sasa sisi wanamafia tunataka kujua kwa nini hajitoketi tukajua moja kama kweli ana nia ya kugopmbea ubunge au la na...
Kuiga kwa matukio ya vyama vingine na wao kufatiliza je ni kwamba wameishiwa mipango Mf CDM walipoomba kuonana na rais kuh katiba nao walifanya hivo Pili NCCR walivomtimua KAFULILA baada ya wiki...
Katibu Mkuu Wa CUF, Maalim Seif Hamad anatuhumiwa na Ufisadi wa Tshs 500m za Chama ambapo Ufisadi Huo uliibuliwa katika Mkutano wa Baraza kuu uliofanyika Nov 3-4 mwaka huu ktk Ukumbi wa Lamada...
As the Democrats revise history according to their needs once again, we need to step back and look at what is really going on, in our country. What do we expect in a country that is ruled by a...
Mwandishi Wetu - Raia Mwema
Mgodi wa TanzaniteOne
*Wasuka mpango kuwazidi ujanja wachimbaji wadogo wa tanzanite
*Sheria mpya ya madini yawapa ‘ruksa' bila kujali mgogoro...
Hii ni kwa mujibu wa chanel ten,habari jioni hii,
Naye Jaji lubuva akiongea na waandishi,ameahidi kuendelerza yale mazuri(namnukuu)yaliyoachwa na mtangulizi wake.
Pia ameahidi kulifanyia...
Hatimaye madaktari wa mafunzo wa Hospitali ya Muhimbili na sehemu nyingine wamelipwa pesa zao jioni hii.
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa Madaktari hao, akiongea nami,
Siku za hivi karibuni tumeshuhudia migogoro kadhaa ndani ya vyama vya siasa. Migogoro mikubwa ilikuwa kwenye vyama vitatu, CCM, NCCR-Mageuzi na CUF. Yaliyotokea wote tumeyaona. NCCR wamemfukuza...
Hawa wamefanya kitu kizuri nawapa pongezi na sisi kila mmoja wetu kwa nafasi zetu tunaweza.....tuichukue hii kama changamoto!
1ST JAN 2012......MUNGU WANUSURU HAWA WATOTO...
Akiwaapisha majaji wa staafu kushika nyadhifa za kuongoza tume ya uchaguzi,lile tabasamu lake alilotuonyesha kwenye maafa ya mabomu na mafuriko,kwa kweli nimetambua kuwa rais anaweza kabisa...
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Mganga Ngeleja ameibomoa ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya viongozi wa chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kurudisha...
0
digg
Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai
ASEMA HANA USAFI WA KUBEZA NYONGEZA YA POSHO
Fredy Azzah
NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amemjia juu Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kuhusu...
Najua mtasema mbona hata CCM katibu mkuu ndiye mwenyekiti wa sekretarieti. Lakini ile inapaswa kuwa kamati ya utekelezaji wa maamuzi na kama CUF wanavyoiita kamati ya utendaji. Ina maana yupo...
John Tendwa, msajili wa vyama vya siasa nchini
MSAJILI wa Vyama Vya Siasa, John Tendwa amesema kwamba ofisi yake inafikiria kuwezakubadilisha mifumo ya uchaguzi kwa kufikiria nafasi na haki za...
Tanzania | Published On: Tue, Jan 3rd, 2012
A new opposition political party, Movement for Democracy and Economic Change, is in the offing. After expiry of its provisional registration in July...
Published On: Thu, Jan 5th, 2012
Tanzania | Published On: Thu, Jan 5th, 2012
Norwegian Minister of Health, Ms Anne-Grete Strøm-Erichsen
OSLO, Norway, January 5, 2012/African Press...
Zitto Kabwe swahiba na mshirika wa karibu wa mbunge aliyetimuliwa kwenye chama chake Kafulila, ameweka wazi kutojihusisha na sakata la Kafulila kwa namna yoyote.
Akiweka maelezo kwenye ukarasa...
Ni mwanzo wa mwaka 2012,
Binafsi sina elimu yoyote ya unajimu,lau ningeweza kutoa tathmini ya mwaka ambao tarakimu zake(namba)zinaanzia na kuishia na namba hiyohiyo yaani 2(mbili).
Lakini...
Ndani ya CUF kunafuka moshi mweusi unaotishia uhai wa chama hicho...kikubwa kinachosababisha mgogoro huo ni ulafi na uroho wa madaraka. Hamad Rashid anasigana na viongozi wakuu wa chama akiwamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.