Politiki sawa lakini tutenge muda pia kwa ajili ya hawa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Politiki sawa lakini tutenge muda pia kwa ajili ya hawa..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, Jan 5, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hawa wamefanya kitu kizuri nawapa pongezi na sisi kila mmoja wetu kwa nafasi zetu tunaweza.....tuichukue hii kama changamoto!


  1ST JAN 2012......MUNGU WANUSURU HAWA WATOTO.... [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"] Written by Mange [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: createdate, colspan: 2"] Sunday, 01 January 2012 19:20 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]
  [​IMG]
  With Hilda,Nyagwa ,Aika na watoto at muhimbili...New yr;s...

  [​IMG]
  Nyagwa,Mange,Pamela,her friend,Kiki,Hilda and Aika kwenye wodi ya watoto wenye saratani...

  [​IMG]
  Dr. Mwele, and the rest of us....

  [​IMG]
  [​IMG]
  Dr. mwele akipanga zawadi za watoto...

  [​IMG]
  Mtoto anaesumbuliwa na cancer ya jicho...akiwa ameshatolea jicho moja...

  [​IMG]
  tukiwa tunawagaia watoto zawadi za mwaka mpya

  [​IMG]
  [​IMG]
  Aika akigawa zawadi...

  [​IMG]
  mtoto mwenye cancer ya taya....

  [​IMG]
  Kiki and Nyagwa....

  [​IMG]
  Kiki akigawa zawadi...

  [​IMG]
  Pamela akigawa zawadi...

  [​IMG]
  Sheria ngowi and i tukizungumza na mtoto wenye cancer ya taya/usoni

  [​IMG]
  Duh, pole sana mtoto mzuri....

  [​IMG]
  Dr. Mwele akicheza na mtoto...

  [​IMG]
  Kiki akicheza na mtoto...

  [​IMG]
  [​IMG]
  Aika and friend wakicheza na mtoto...

  [​IMG]
  tukiwa tunaelekea ward ya juu....

  [​IMG]
  [​IMG]
  Kiki and Zaituni...

  [​IMG]
  pole mtoto....

  [​IMG]
  [​IMG]
  Hujafa hujaumbika, huyu mtoto ana cancer ya kiuno,tulionyeshwa kidonda chake kiunoni jamani jamani, inatisha sana...

  [​IMG]
  Captain Hilda....

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  huyu mtoto ana cancer ya ubongo....

  [​IMG]
  huyu mtoto katoka kutolewa jicho....

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  watu wa watu

  [​IMG]
  Pamela,Sheria,mange and hilda...

  [​IMG]
  the whole crew.... Ahsanteni sana guys kwa moyo wenu..

  tumeuanza mwaka kwa kuwafariji watoto hawa ,im sure na nyie pia mmepata amani sana kwenye roho zenu...

  [​IMG]
  Zaituni and mange
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Yote Kwa Hisani ya Blog ya Dubai
   
Loading...