Rais kikwete amwapisha rasmi jaji lubuva kuwamwenyekiti nec. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kikwete amwapisha rasmi jaji lubuva kuwamwenyekiti nec.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by commonmwananchi, Jan 5, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Hii ni kwa mujibu wa chanel ten,habari jioni hii,
  Naye Jaji lubuva akiongea na waandishi,ameahidi kuendelerza yale mazuri(namnukuu)yaliyoachwa na mtangulizi wake.
  Pia ameahidi kulifanyia uhakiki daftari la kudumu la wapiga kura nchini,.
  *my take!
  Taswira niliyoiona katika luninga kuhusu tukio hilo ni ya mtu mzee ambaye kishachoka na alistahili kuwa kwenye tukio la kuagwa toka katika utumishi na si kuapishwa kama hali halisi ilivyojiri nikizingatia changamoto kubwa iliyoko mbele ya tume hii,ya maandalizi ya utungaji wa katiba mpya huku tukielekea uchaguzi mkuu 2015

  .
   
 2. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ameapishwa leo.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umehudhuria dhifa?
   
 4. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  we ndo umejua leo?
   
 5. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haswaa!
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,318
  Trophy Points: 280
  Kikwete kweli ana matatizo, kisa cha kukiteua Kizee kama hicho ndo nini?
   
 7. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Hongera Rais Kikwete kumwapisha shemeji yake Lowasa (Damian Lubuva - kaka yake mke wa Lowasa )kuwa Mwenyekiti Mpya na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Jaji mstaafu Damian Lubuva ni mchapa kazi na nimatumaini ya watanzania wengi leo kuwa anauwezo wa kuleta mabadiliko makubwa katika Tume hii ya Uchaguzi (NEC). Kila la kheri[/h]
   
 8. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nasikia huyu mzee kwao ni kijiji cha HAUBI kule Kondoa!Inamaana Mrs EDO nae ni mtu wa huko?Hongera jaji ila jitahidi kutenda haki mzee.
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mzee hana rekodi mbaya kwenye utendaji wake huko nyuma ila hili zigo la misumari alilotwisha ndio la kuhadhari nalo.
  ila kwa kuahidi kuboresha daftari la wapiga kura inatia imani
   
 10. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Bora angwemweka babu yangu angemsaidia sana..Kizee hata kuongea hakiwezi..Duu Rais wetu kweli anachemsha..sijui anashauriwa na nani...
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,318
  Trophy Points: 280
  Kibabu hicho cha miaka 90 kitafanya nini?
   
 12. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Huo uchapakazi wake unaouongelea ni wa kipindi kipi katika historia yake,ujaji,uanasheria kule zanzibar au uwaziri serikali ya muungano?.
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,318
  Trophy Points: 280
  Kibabu Kingunge kikowapi siku hizi!
   
Loading...