Goheki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 447
- 387
Akiwaapisha majaji wa staafu kushika nyadhifa za kuongoza tume ya uchaguzi,lile tabasamu lake alilotuonyesha kwenye maafa ya mabomu na mafuriko,kwa kweli nimetambua kuwa rais anaweza kabisa kutofatisha wapi atabasamu na wapi aonyeshe masikito au umakini zaidi kama rais.