Fukuzafukuza Wabunge, huu ni ukoloni mambo leo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fukuzafukuza Wabunge, huu ni ukoloni mambo leo...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Jan 5, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  huu ni ukoloni mpya, yaani watu wanatishwa kuhoji..ukihoji tu unapigwa chini..
  this is a bullsheit
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Buji!
  zamani ubunge ilikuwa ni ufalme mpaka uzeekee huko hata ukiwa unafanya madudu,hii itawashtua kidogo wajue kumbe ukomo si miaka 5 tu bali hata kukiuka katiba na kwenda kinyume na policy kunaweza kukuweka pembeni
  mawazo tofauti ni sawa lakini yatolewe vikaoni sio kwenye vijiwe mabibo!
   
Loading...