Madaktari wa mhn walipwa posho zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wa mhn walipwa posho zao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOOKY, Jan 5, 2012.

 1. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hatimaye madaktari wa mafunzo wa Hospitali ya Muhimbili na sehemu nyingine wamelipwa pesa zao jioni hii.

  Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa Madaktari hao, akiongea nami,
   
 2. i

  iphone Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauri wa bure kwa serikali;futeni hizo taratibu na michakato coz imedhihriika wazi kuwa haina faida maana imefikia hatua mbaya mpaka katika uhai wa watanzania mahospitalini mnasema ni taratibu serikali na kesho CAG akipita tunasikia mabilioni ya hela yamepotea na maelezo hamna!!!hongereni madaktari na chama chenu kwa msimamo wenu kwa ujumla na bado inabidi mishahara ya madaktari ifanyiwe review.
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Bila mgomo haupewi chako kudadeki hii nchi hii...
   
 4. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Ni MNH ( Muhimbili National Hospital ) sio mhn.
   
 5. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  Walimu kazeni buti nanyi chenu mtapewa tu. Nawaombea kieleweke maana hali yenu ni mbaya sana kuliko mfanyakazi yeyote yule wa umma dah poleni sana.
   
 6. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  walimu hawana uwezo wa kugoma
   
 7. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Walimu hawawezi goma kwa sababu wanawauzia wanafunzi maandazi
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Walimu wanapata cha juu kikubwa kuliko mishahara wanauza ubuyu,ice cream,maandazi,vitumbua tena wanauza kwa nguvu kama huna pesa unakopeshwa!!!
   
Loading...