Maalim Seif Hamad (Katibu Mkuu - CUF) na Kashfa ya Ufisadi wa 500M za Chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif Hamad (Katibu Mkuu - CUF) na Kashfa ya Ufisadi wa 500M za Chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamakula, Dec 4, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Katibu Mkuu Wa CUF, Maalim Seif Hamad anatuhumiwa na Ufisadi wa Tshs 500m za Chama ambapo Ufisadi Huo uliibuliwa katika Mkutano wa Baraza kuu uliofanyika Nov 3-4 mwaka huu ktk Ukumbi wa Lamada uliopo Ilala DSM.

  Sambamba na hiyo Seif anatuhumiwa kuua CUF bara, kwa kushindwa kusimamia mgawanyo wa Ruzuku mikoani (bara) kwa Lengo la kuua Cuf Bara.

  Pia anatajwa kuficha kwa makusudi fedha zote alizopewa na Wafadhili kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kuimarisha Mtandao wake kwa ajili ya uchaguzi 2015.

  Seif anataja kuunda timu kikosi Maalum cha Majasusi wanaomtii kinachaitwa STF ambapo kazi yake ni kufanya uchunguzi dhidi ya mtu anayeibua UFISADI wake. Kikundi hiki kila mmoja analipwa Tshs 50,000/= Kwa siku na budget hiyo anaitoa Seif Mwenyewe.

  Wapo baadhi ya Maofisa wa makao Makuu CUF wanalalamika kuhusu Ukata akiwemo Mtatilo ambaye naye amejiuziwa Gari kwa bei ya kutupwa kama sehemu ya kulipiza Kisasi.

  Kutokana na Muvurugano wa Makundi mawili na Kisiasa ndani ya CUF, Seif ameandika waraka ambao umesainiwa na Shaweji Mketo kwa niaka ya Seif ukiwataka viongozi wote wa wilaya nchini wasifanye Mkutano wowote wa Siasa bila kupewa kibali na Seif!!!

  Hofu iliyopo ni kwamba Seif alikuwa na mpango wa kuzunguka nchi nzima kuhamasisha chama, lakini akasitukia kundi linalomuunga mkono Hamad rashid ni kubwa na wanahoja nzito kwa wajumbe na wananchi na kwamba, tayari Hamad Rashid amemwandikia rasmi barua Seif kumjulisha kuwa anagombea nafasi yake na kuorodhesha timu yake ya kampeni!

  Seif Alishatenga Zaidi ya Tshs 180m kama sehemu ya Ruzuku ambapo ametanguliza Tshs 30m kama kuwalainisha wajumbe ili wamuunge Mkono.

  Operation ya kumung'oa Seif wa CUF (CCM-B), inakwenda sambamba na operation ya kumung'oa James Mbatia wa NCCR (CCM-C) huku mtandao wa Lowassa ndani ya CCM unajipanga kumwondoa Kikwete kwenye nafasi ya Uenyekiti Taifa ili kuboresha mchakato urais 2015
   
 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Source : Mtanzania leo.
   
 3. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani bangi itatuua
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Anayevuta ni nani sasa? Maalim Seif, Mtanzania Leo au Mwamakula?
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Au yeye?
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa staili hii sijui nani atamvika paka kengele,CUF wanaopiga kelele za ufisadi,kumbe nao si wasafi.
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yangu macho na masikio 2,
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wapemba hawa - Seif na Hamad R mbona wanaleta uhasama wao huku bara? Wanyukane huko huko kwao ikiwezekana waondoke na likafu lao.
   
 9. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongo uongo uongo fitina fitina fitina fitina fitina yaaan uongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
  kama mnataka kumg'oa seif na imeshindikana si muhame chamaaaaaaaaaaaaaaaaa?
   
 10. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kama ni uongo tuambie ukweli unao ujue wewe usiwe kama Maalimu Seif ,jibu hoja.!Huo wizi wa 500m umeibuliwa na baraza kuu la Cuf chombo kinachoheshimika sana!
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  si(h)asa bana!
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Keeping my ears open
   
 13. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kati ya mwaka 2012 mpaka 2014 Vyama vyote vikubwa nchini vinakabiliwa na mabadiliko ya uongozi , CCM hawamtaki Jk kuwa mwenyeki mwenyekiti
   
 14. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  CCM hawamtaki Jk kuwa mwenyekiti,Nccr hawamtaki Mbatia,Sijui CHADEMA lakini Mrema TLPalisimikwa na Polisi
   
 15. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Na mie simtaki mwenyekiti wangu wa mtaa come 2015
   
 16. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Maalimu Seif (Katibu mkuu wa Cuf na Makamu wa Kwanza wa Rais) ameporomosha matusi makuu Cuf Leo Buguruni baada ya kuwafukuza waandishi wa Habari.seif amewambia wanachama wa CUF Moa wa DSM kuwa Hamadi rashid ni Mwanaharamu na Mwendawazimu . Hata kama ukimuweka kwenye Chupa atajitokeza ili watu wamuone.!!Ametoa msimamo kuwa watu wote wanao muunga hamadi Rashid ni haramu pia na Chama kitawafukuza katika matawi yao!!!


  Baada ya kutoa matusi hayo ambayo yalirudiwa mara kwa mara na kila aliyehutubia wakiwemo Julius mtatiro, Ismail Jussa na Khamas ally macharo wanachama waliokuwa wanasikiliza waliondoka kwa hasira!!!!!!!!!!!
   
 17. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  duuuu yamekua haya?!
  Kweli hii ni Cuf
  C=Chama cha
  U=Ulaji na
  F=Fujo
   
 18. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Huyu Seif Sharif ninaemjua mie, kama kweli hayo maneno kayasema, basi atakuwa kachanganyikiwa!!!
   
 19. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Sasa baada ya kutukana matusi hayo aliondoka kwenda kufungua Kongamano la Kuchangia TV Imani ambapo alialikwa na viongozi wa dini ya Kiislamu kwa heshima ya yeye kuwa Maalimu na Kiongozi wa serikali kwa nafasi ya makamu wa Rais ZnZ
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pengine amenukuliwa vibaya maana sioni kwa vipi Maalim Seif atasema hayo maneno? Kama Hamad Rashid ni mwanaharamu Maalim Seif atakuwa nani?
   
Loading...