Je CCM itasimamisha mgombea urais 2015 kwa kigezo cha dini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je CCM itasimamisha mgombea urais 2015 kwa kigezo cha dini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYISANZU, Jan 8, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Huu ni mtindo ambao CCM imekuwa ikiutumia. Je una nafasi 2015?
   
 2. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 921
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Umekosa lakujadili? Ondoa huu upupu wako hapa.
   
 3. r

  rebeka New Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh, sijui, manake siri wanazjua wene chama, ce wapga kura tunaskiza, but it wil be gud if akawekwa m2 kauzu yani, anaejali maslah ya majority coz minorty jaman watavmba sasa wakiendlea kungangania kula. Pleas wazee wa ftna m2fkrie watanzania
   
 4. r

  rebeka New Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao washakifanya chama chao, co che2 tena, yan hadi nimemmis babu, najua angeweka busara zake ktk selektion, du, Nyerere was the best to make decision
   
 5. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  udini ni sawa na ukoma ole wenu mnaoushabikia
   
 6. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Watafuata kauli ya jukwaa la katiba la BAKWATA si ndo wenye chama hamkumbuki ya INGUNGA.
   
Loading...