Viongozi wawili ccm kuburuzwa mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wawili ccm kuburuzwa mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ramso5, Jan 8, 2012.

 1. R

  Ramso5 Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Diwani mmoja wa ccm na waziri wake ambao ni vijana na wanatoka wilaya moja ya mkoa wa mwanza,huenda wakatinga mahakamani muda wowote kujibu mashitaka dhidi yao.viongozi hao ambao wanamiliki jengo la ghorofa 8(hotel) lenye thamami ya mabilioni ya pesa ktk mtaa mmoja katikati ya jiji la Mwanza.Taarifa zilizopatikana ni kuwa viongozi hao kutokana na ubabe,utawala,jeuri ya pesa na kuhonga vyombo vya serikali,wamejikuta matatani dhidi ya familia moja ambayo inataka jengo hilo livunjwe kwa kuwa limeingilia kiwanja chao.waziri huyo aliye ziarani kanda ya ziwa juzi alipita kukagua ujenzi wa jengo ambalo liko mbioni kumalizika ambalo gumzo ktk jiji la mwanza lote
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wahesabu maumivu tu au wachukue chao fasta life liindelee..
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unapopost thread humu Jamvini kumbuka kauli mbiu ya JF inayosema kwamba 'Where we dare to talk openly'. Tena kwa kukusaidia JF ikaruhusu watu kujisajili kwa Nick names. Sasa wewe mwenzetu unatumia Nick name na bado unaogopa kuwataja hao watuhumiwa. Unataka JF ikusaidieje ile u talk openly?

   
 4. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...hiyo style uliyotumia kutuhabirisha sio mahalapake hapa,peleka kwenye yale magezeti yenye kurasa mbili aka magezeti ya udaku.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe ni muoga au unaleta majungu na tetesi hapa. Kwa nini usiwataje hao watu? Inakuwa kama gazeti la udaku vile manake huwa yanataja kila kitu kasoro jina tu! Hoo waziri huyo yuko ziarani kanda ya ziwa lakini humtaji! Kama una hiyo clue ingetafuta mawaziri ambao wako ziarani kanda ya ziwa.na ku zero in kisha ukapata jina na kutuhabarisha. Ianze upya basi mkuu.
   
 6. +255

  +255 JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Si useme tu ka ni yule Waziri wa Megawatt ( Ngeleja)
   
Loading...